thats according to you?cause nkikuja kwa world class cities i doubt kama kuna any east africaHakuna World class city yoyote duniani ikakosa japo kimoja kati ya hivyo nilivyotaja, accept it and move on japo inauma.
video???? mi naona google pictures tu zinazoonesha mabatiUna bando la kuangalia hiyo video au ume comment tu .? 🤣🤣🤣🤣
Unataka Twende kwenye manufacturing.? 🤣🤣🤣 Utaweza sasa.?Kisumu is better than Arusha in every matrix. Right from Aviation to manufacturing. Arusha is only ahead of Kisumu in Tourism
0.5% of Dar, where is SGR, where are cable stayed bridges, where's brt, where are interchanges, where are flyovers, where are suburbs, where's airport, where are bus terminals, where is kkoo, where's masaki, where's.....World Class City indeed.
View attachment 2339172
Hii hapa 👇video???? mi naona google pictures tu zinazoonesha mabati
Hiyo ni ya kesho, don't forget. Right now I want to sleep.Unataka Twende kwenye manufacturing.? 🤣🤣🤣 Utaweza sasa.?
mashamba tena?Hii hapa 👇.
Which interchanges and flyovers are you talking about? Zile interchanges mbili na flyover moja ama?😂😂😂🤣0.5% of Dar, where is SGR, where are cable stayed bridges, where's brt, where are interchanges, where are flyovers, where are suburbs, where's airport, where are bus terminals, where is kkoo, where's masaki, where's.....
Hiyo battle hutawezana mzee.. ARUSHA ni moja ya mikoa tegemezi Tz kwenye uzalishaji wa bidhaa za viwandani there are several industrial parks in ARUSHA.. Kisumu ni joke tu🤣Hiyo ni ya kesho, don't forget. Right now I want to sleep.
There are no industries in Arusha. What you have down there are SME🤣🤣🤣😂Hiyo battle hutawezana mzee.. ARUSHA ni moja ya mikoa tegemezi Tz kwenye uzakishaji wa bidhaa za viwandani there are several industrial parks in ARUSHA.. Kisumu ni joke tu🤣
My first question was, una bandle.? 🤣🤣mashamba tena?
Maneno matupu situmii, twende groundThere are no industries in Arusha. What you have down there are SME🤣🤣🤣😂
It's bundles and not bandle. Wewe jamaa bwana nilikuambia that elevated secondary school you attended in Mwanza did zero work on you. Goodnight 😂😂My first question was, una bandle.? 🤣🤣
we vipi?umepost pictures za google ukidai ni video..then ukapost picha ya shamba sijui la mihogo 😀 😀 😀 ..sikuelewi wasemajeMy first question was, una bandle.? 🤣🤣
Unahamisha goals tena.? 🤣🤣🤣It's bundles and not handle. Wewe jamaa bwana nilikuambia that elevated secondary school you attended in Mwanza did zero work on you. Goodnight 😂😂
Umeshakula.? 🤣🤣🤣we vipi?umepost pictures za google ukidai ni video..then ukapost picha ya shamba sijui la mihogo 😀 😀 😀 ..sikuelewi wasemaje
Kasanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni ya kesho, don't forget. Right now I want to sleep.
No, was just correcting your spelling. You should go and demand for your school fee cause it seems ulitoka nunge😂Unahamisha goals tena.? 🤣🤣🤣
unaeza nifanya nikaumwa ni kichwa bure....usituletee mashamba ya mihogo pleaseUmeshakula.? 🤣🤣🤣