Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

aafu hakuna nchi inaliwaza tz🤔.. ole wangu wabongo aki.. mtazoea tu. msikonde

 
Huwa mnapata tabu kukesha kwenye mitandao kutengeneza battle vs Tz kila kukicha badala mpambane na hali zenu, according to that picture Wakenya wanaifikiria USA kwa lipi, kwenda kule kuishi au kimaendeleo? Je kama Wakenya wanaifikiria USA kwa ajili ya kuishi iweje wasiifikirie Tz wkt ndiko wapo wengi kuliko USA? Iweje Watz waifikirie Kenya wakati hawapo wengi huko Kenya na wala hawavutiwi na Kenya?

Iweje Sudan au Somalia wasiifikirie Kenya ambayo ndiyo maadui zenu kiasili? Kama ni kuipenda nchi iweje Burundi, DRC, na Kenya hawaiwazi Tz? Jibu ni kwamba Wakenya mna wivu na chuki za kimaendeleo dhidi ya Tz kiasi cha kwamba mnakesha mitandaoni kuwachokoza Watz ili mjifurahishe mana mnajua fika umaarufu wa Kenya unaitegemea Tz kwa kila kitu so mnapambana kila siku kuanzisha jipya ili battle isife cz you guys know that the day battle btw Tz and Kenya comes to an end, then there will not be Kenya anymore.
 
Aisee! Hii ni Lindi? Mkoa wa kusini mashariki, cheki ulivyopangiliwa, mitaa safi, barabara safi. Halafu hausikiki sana.Mipango miji nawapongeza sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Lindi mitaa imenyooka mzee.
 
Sasa mbona uandike insha when the truth is known worldwide that Tanzanians always lick Kenya's ass?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…