Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CBD ya kisumu ni 100 square meters, ingia ndani kidogo uone πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Haijalishi, point driven home, kwa sasa ni safi sana..., na Dar na Lagos ni kubwa kuliko Johannesburg pia, lakini hamuwezi tajwa sentensi moja na Jozi.., jiulize mbona? na ujijibu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Na ni mji fukara kama Turkana
 
Duuhhhh uozo mpya huu sijawahi kuuona before [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wameukalia muda mrefu sana tusiuone
 
Continue worshipping Indians.
 
Hii ni mall eti? , wacha kuharibia malls jina banaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Unafikiri sisi ni kama ninyi mji wote wana umiliki wachina na wahindi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Everything you see in this picture is owned by Chinese and Indians mpaka barabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2334559
Mbona hawawekezi kwenu nchi ya maziwa na asali? jibu: ufukara.., low number of middle class, market ni finyu sana, nyie wengine ni wavibanda tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni mall eti? , wacha kuharibia malls jina banaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mapato ya panone kwa mwezi hakuna mall kunyaland inamfikia, ana filling Stations zaidi ya 100
 
Mapato ya panone kwa mwezi hakuna mall kunyaland inamfikia, ana filling Stations zaidi ya 100
Usigeuze gear, hiyo sio mall banaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…