Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtanzania atowe pesa wapi ya kujenga gorofa? Don't forget Tanzanians are the poorest people in East Africa.
We taahira kweli, unafikiri maghorofa yaliopo kwenye miji ya Tanzania yanamilikiwa na nani? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Unafikiri tunamili mud huts na iron shacks kama wakikuyu hapo Nairobi? ๐Ÿคฃ

 
Hiyo 85% uliitoa wapi?
Two years ago mlidanganywa ati Tanzania imeungamisha 85% of villages with electricity, this percentage represented 9,112 villages. How comes in 2022 the figure has reduced to 71% which is 8,804 villages. Kwani mling'oa poles?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

2020



2022
 
Two years ago mlidanganywa ati Tanzania imeungamisha 85% of villages with electricity, how comes in 2022 the figure has reduced to 71%? Kwani mling'oa poles?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

2020

View attachment 2334469

2022
View attachment 2334472
Huwa nasema uongo na propaganda hazina shelf life, wengi ni waongo, tokea kwa viongozi hadi chini kwa mifukara๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Huwa nasema uongo na propaganda hazina shelf life, wengi ni waongo, tokea kwa viongozi hadi chini kwa mifukara๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hawa ni wajinga na ndio maana wanadanganywa kirahisi hivo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Yani nimeshangaa badala ya number kuongezeka inapungua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe kwa akili yako mbovu unaweza ziamini taarifa za kina Mwendazake na genge lake? Kwani hujui walikuwa wanapika Takwimu na ndio sababu za kutunga sheria ya ku kamata wanaokuja na Takwimu tofauti?

Amini Takwimu za awamu ya 6 ndio sahihi na ziko wazi Kwa kila mtu kupinga au kuunga mkono..
 
Viongozi wenu wote ni waongo.
 
hawa wakunya wanapenda vipicha vya upandeupande
wakati tunajua miji yao ni michafu kupindukia
Video clips za 2022 ni mingi tu kwa youtube.., google earth iko, mbona tudanganye, sisi sio watanzania wala CCM..,mko hovyo kiukweli, mbona liko wazi sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
we nawe ni kheri ukatuliza matako tu kuliko kutuletea habari za huyo mvaa ushungi ambaye madeni anayoyakopa yamemzidi kutwa kila siku aรฑaleta tozo za ajabuajabu msipoangalia vizuri atawaleteeni mpaka tozo za kulipia ****** ili tuone mtasalimika wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ