Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Au hii article yako umepost haukuisoma nini.? πŸ‘‡View attachment 2332874🀣🀣🀣 hii lake basin ni 27k m square
Nimeisoma ndio maana nimeipost, hata wewe kwa akili yako unaona tu vizuri that's a typing error. With that your stupidity ebu try converting that figure into sqr meters alafu utuambia kama inamake sense.
 
Nimeisoma ndio maana nimeipost, hata wewe kwa akili yako unaona tu vizuri that's a typing error. With that your stupidity ebu try converting that figure into sqr meters alafu utuambia kama inamake sense.
Eti typing error 🀣🀣🀣 we ni mwehu .. mzee lake basin Mall ni 27k m square, wacha kulazimisha vitu articles zote zinakukataa
 
Hii town haina hata lami manzee, Moshi ni juu zaidi ya hii town yenu
 
Kwa kanuni za utumisha wa umma na ukizingatia cheo chake amestahili adhabu afuate njia za Rufaa kama hayuko nje ya Muda.
Mimi naona angenyamaza tu maana kama ushahidi upo wazi hata huko atachemsha. Awe muungwana na kuomba msamaha huwezi kujua huko mbeleni akapangiwa kitengo kingine, ila akisema asumbuane na serikali atapigwa pin kote. Bado ni kijana nguvu yake inahitajika kulitumikia Taifa.

Maono yangu tu na siyo kisheria. Huwa ninaamini majadiliano zaidi katika kutatua migogoro badala ya mabavu.
 
Ukara, sawa ahsante, ila ingeitwa Ukora kama vile google earth imeandika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Google imezingua mbaya imeleta tafsiri potofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti typing error 🀣🀣🀣 we ni mwehu .. mzee lake basin Mall ni 27k m square, wacha kulazimisha vitu articles zote zinakukataa
If you believe that 27k then I dare you to show me another article talking of the same figure. For me, I can give more than ten links talking about 60,000mΒ²

 
So to you city is pop?how abt infra and economic activities?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahyo imeisha chaji ikiwa kwenye process .?
Jamaa huwa anachekesha sn, mdomo mpana vitendo zero, eti dokta huyo, kama ni dokta basi Kenya madaktari wanalipwa pesa mbuzi sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wacha mchezo kijana
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† alafu kwenye uzi nyingine, kuna mwenye ali confuse kua hapa ni south africa!..πŸ˜†πŸ˜† yaani nimecheka yangu yote.!

huyu mtanganyika hakuamini kua miji za kikenya ziko beautiful kiasi hiki! hadi kuconfuse na south africa!πŸ€”πŸ€”

ali admit kua, kwenye swala la miji na mabarabara, kenya tuko mbali sana na kwamba tumeipiku tz mbali sana!.. na eti itachukua bongo zaidi ya miaka 30 kukaribia hizi levels.. haha.. πŸ˜„πŸ€”

hio kwangu ilikua noma sana mzeeπŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…