dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
kisumu infrastructure sophistication.."Eastlands" ya Kisumu.,
View attachment 2332508
View attachment 2332506
View attachment 2332507
Mamboleo Interchange.., Kisumu
View attachment 2332509
Kondele Flyover.., Kisumu
View attachment 2332515
Kisumu Airport/Busia road Interchange..,
View attachment 2332519
View attachment 2332516
View attachment 2332517
Nyamasaria Flyover., Kisumu
View attachment 2332520
Ndio nimeshakusahihisha hivyo; au unatakaje?Wewe sahihisha kama mtanzania, I stand corrected, sio kuuliza swali kimandazi.., simply state the fact as u know best.,
Ukara, sawa ahsante, ila ingeitwa Ukora kama vile google earth imeandika π π π π π π πSio Ukora ni Ukaraπ€£π€£
Hiv unajua zile posh zote alizokua anapost ichoboy01 hazipo karibu na CBD...? Upande wa Rockcity mall kuelekea airport kote hujaweka hapa.. picha ulizoweka ni za upande mmoja tu wa Mwanza..Sama boy 255 Mwanza hiyo apo.., ni wide na iko organized around CBD area, ila ukiendelea kusonga nje utaona watu wanajenga kiholela tu..,
View attachment 2332452
Around CBD area..,
View attachment 2332454
View attachment 2332456
View attachment 2332461
View attachment 2332463
View attachment 2332458
View attachment 2332465
View attachment 2332467
View attachment 2332469
Kisumu kwa road infrastructure iko juu.., views from google earth ziko clear., π₯π₯π₯kisumu's civil engineering sophistication.. still a 2070 dream for mwanza and arusha combinedππ½
View attachment 2332525View attachment 2332526View attachment 2332528View attachment 2332530View attachment 2332531View attachment 2332527
Kwa kichwa kibovu kama chako maendeleo ni calvart.? Zenye hata ukiziunganisha zote hazitawahi fikia urefu wa kigongo busisi bridge.? π€£π€£ Google the benefits of Kigongo busisi bridge.. Mwanza enye iko na SGR .. wewe uache kutumia kichwa kama kizibo cha shingokisumu's civil engineering sophistication.. still a 2070 dream for mwanza and arusha combinedππ½
View attachment 2332525View attachment 2332526View attachment 2332528View attachment 2332530View attachment 2332531View attachment 2332527
Naweza weka ukitaka., nimeichambua Mwanza hadi nikaingia mashambani.., ata estates., Kisumu is classy bana, but ikija ukubwa na population naona Mwanza ni kubwa..., it is clearly seenHiv unajua zile posh zote alizokua anapost ichoboy01 hazipo karibu na CBD...? Upande wa Rockcity mall kuelekea airport kote hujaweka hapa.. picha ulizoweka ni za upande mmoja tu wa Mwanza..
I do agree with you, Cities za bongo kando ya DAR kitu zilikua zime lack ilikua ni roads infrastructure but we now doing good..Kisumu kwa road infrastructure iko juu.., views from google earth ziko clear., π₯π₯π₯
Mnajaribu.., kwanza Arusha!., iko na sifaI do agree with you, Cities za bongo kando ya DAR kitu zilikua zime lack ilikua ni roads infrastructure but we now doing good..
Hatujaribu tunafanya, Arusha is also above Kisumu in each and single aspect except those calvarts in Kisumu.. I'm I lying.?Mnajaribu.., kwanza Arusha!., iko na sifa
Zoezi ni la siku 7 so don't panic ila kulikuwa hakuna haja ya kusema leo iwe siku ya mapumziko.Hili zoezi la sensa nadhan limefeli. Mpk sasa sijahesabiwa, na nimeshinda home siku nzima.. huko kwengine mfano kijijin si ndo itakuwa balaa
Wajipange upya, waongeze makaran
Unasema wewe., maoni yako tu π π π πHatujaribu tunafanya, Arusha is also above Kisumu in each and single aspect except those calvarts in Kisumu.. I'm I lying.?
Google earth sometimes inachelewa kuji update sijui .? Most of the street roads in Mwanza city currently ziko na lami.. ingawa kwa picha ulizopost sijui, lakini mitaa mingi iko na lami mpyaa mimi ninazopicha kadhaa nilizowahi kupiga mwenyeweSama boy 255 nimeona Mwanza π π π mtaa mingi za kibabi hazina lami., ni vumbi., in Kisumu mitaa zote za Kibabi ni lami., maybe chache ambazo zinachipuka..,
View attachment 2332548
View attachment 2332550
Huo ni ukweli labda kama utaamua kupinga tu, na itakubidi upinge kwa FactsUnasema wewe., maoni yako tu π π π π
Arusha nilisha ichambua kitambo sana.., kila kona, hadi clips za youtube.., mko na same looks mitaani in Tanzania, yaani kwa Kenya nyie bado, kwanza pale stage ya dala dala, in 2022 bado matatu ni zile Hiece design ya zamani, alafu panaka hovyo hovyo tu.., but aesthetics ya town iko poa kuliko Mwanza kwa maoni yangu.., Arusha looks classy somehow, ila mitaa ya raiya, wacha tu, mko na mwendo., π π π π π πHuo ni ukweli labda kama utaamua kupinga tu, na itakubidi upinge kwa Facts
Ila mzee baba unaiogopa ARUSHA wewe, π€£π€£ Kwahyo hapa ni ARUSHA sehemu gani.?Arusha nilisha ichambua kitambo sana.., kila kona, hadi clips za youtube.., mko na same looks mitaani in Tanzania, yaani kwa Kenya nyie bado, kwanza pale stage ya dala dala, in 2022 bado matatu ni zile Hiece design ya zamani, alafu panaka hovyo hovyo tu.., but aesthetics ya town iko poa kuliko Mwanza kwa maoni yangu.., Arusha looks classy somehow, ila mitaa ya raiya, wacha tu, mko na mwendo., π π π π π π
Satelitte image ya Arusha..,
View attachment 2332568
Wow ..! Yo kenyans this is neither Posta nor Kariakoo Don YF wala sio Upanga hiyo
Angalia kuna sinoni River navyofahamu sinoni ni arushaIla mzee baba unaiogopa ARUSHA wewe, [emoji1787][emoji1787] Kwahyo hapa ni ARUSHA sehemu gani.?