Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuwekee kwanza picha za mafundi wanaojenga pinnacle tuone wakiwa site.
 
msisitizo:
"wasee" wa pinnacle tuleeni hata picha tuone mafundi ujenzi wakiwa site.[emoji23] [emoji23]
 
Halafu Nairobi Mna bahati mbaya sana na huo udongo mwekundu . Panaonekana pamechakaa
wazee wa matope hawa....unakumbuka zile screenshot za matope nilikuwa naziweka hapa wakati ule?.

nilikuwa nafanya hivyo nikijua kwamba ardhi ya nairobi ni ya udongo mwekundu unaopeleka uwepo wa matope kila sehemu ya jiji.
 
Mzee wa iphone 7 tulishamuumbua siku hizi simuoni sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
tangu ulipo mnyorosha siku ile,amekuwa akiingia jf kwa uoga sana....sijui anaogopa nini masikini.

tatizo hawa jamaa huwa wanatuchukulia poa sana....siku wakibahatika kujua uhalisia wetu ndio watachanganyikiwa zaidi.

wataogopa hata kutu-quote.[emoji23] [emoji23]
 
zikwapi hzo renders tuzione plz πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mwambieni arudi yale yalishaisha tunaanza maisha mapyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Yaani Bora hapa Kampala kuna majengo mengine yanonekana ni jengo.





Ila majamaa wanavyoongea sikutegemea kuona hii kitu ( CBD) majengo mengine sijui yamefunkwa na magunia?



Bora Kariakoo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Brathe umeona izo white strips kwa barabara zinaitwa zebra crossing ambapo watu huvukia barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…