The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hii Vingunguti inapaswa kufumuliwa yote mkuu, iko hovyo sn, ikipigwa picha bila kuuliza unaweza sema ni Kenya.Kapona yupo Kulia mwa Barabara. Eneo la kushoto mwa Barabara hadi pembeni Nissan limefyekwa .
Hii Vingunguti inapaswa kufumuliwa yote mkuu, iko hovyo sn, ikipigwa picha bila kuuliza unaweza sema ni Kenya.
Some Africans are traditionally stupid my friend. Western organizations operate a divide and rule strategy on weak nations especially in Africa using their tools WB and IMF. Once you get accolades from them especially in GDP terms you start looking down on your fellow africans. This also is purely being displayed here and it is akin to Animal Farm story. Four legs good too legs betterHamna kitu kama kucheza kama Pele, viongozi wa afrika tusipojitambua na kushikamana tutandelea kuwa dependent to western countries milele
Unatafuta njia ya kukimbia sasa 😂😂😂 dar bado inawanyima usingiziI think this thread is useless. Nairobi is far ahead of Dar, every non-partisan traveler who visits the two cities observes that. There's no competition.
Basi overpass inaweza kukatiza Nyerere road!Nadhani Ni Overpass kupishana na SGR, Yaani wamevunja inapoanzia reli mpka upande wa Nyerere Road. Eneo lote hilo lipo wazi.
Dar kila kona sasa ukigeuka huku overpass mara flyover mara interchange zimekuwa nyingi sana kila baada ya km 2 unakutana nazo too much sasa.Over pass
Underpass na tropical weather sidhani.No, ni underpass.
Wakunya wamepigwa na kitu kizito
250km kwa saa wakenya inafaa mtuhamkie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106]Hii Vingunguti inapaswa kufumuliwa yote mkuu, iko hovyo sn, ikipigwa picha bila kuuliza unaweza sema ni Kenya.
Sehemu kubwa ilishanunuliwa na mwekezaji ajenge mji wa kisasa sasa alipoingia Magu deal ikasimama lakini sehemu nyingi watu wameshachukua hela na wengine kufanyiwa tathmini ya malipo.Hii Vingunguti inapaswa kufumuliwa yote mkuu, iko hovyo sn, ikipigwa picha bila kuuliza unaweza sema ni Kenya.
Bakhresa ana kiwanda Vingunguti?Bakresa kapona kweli
Una argument za ni low IQ sana. Kwa nini tusijenge daraja la njia nane? Kwani pesa ni ya magufuli?Apa sasa wewe ndio unaongea kama hukwenda shule,kuna ulazima gani daraja Liwe na 8lanes?
Haka kadaraja kamewauma kweli. Wewe ndio nyangau mkubwa na hypocrite mkubwa zaidi. Ukileta daraja la ziwa Danganyika la 8 lanes nahama jf 😂😂Yaani hako kadaraja ndio unajiona umefika mbinguni? Ha ha ha wewe kweli ni nyang'au.
Wewe ni jinga na umesomea nje ya nchi? 😂😂 uache kudanganya watu. Niko 100% sure dar haina flyover zaidi ya kumi. Kama unabisha leta evidenceDar kila kona sasa ukigeuka huku overpass mara flyover mara interchange zimekuwa nyingi sana kila baada ya km 2 unakutana nazo too much sasa.