Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Sio modern alaf ni dwarf kadaraja na mita kadhaaRais Uhuru amezindua makupa bridge, Mombasa. (Hii ni daraja ya 8 lanes ambayo haipo Tanzania nzima)
View attachment 2314245View attachment 2314246View attachment 2314249
Cc Geza Ulole
The best 007
ichoboy01
Safi sana. Jamaa Eric karudi mahali pake 👍Sometimes, mtu akiwa smart eneo flan haimaanishi akiongezewa cheo zaid atakuwa smart zaid.. Tanzania sijui tunakwamaga wap kwenye hili, yan mtu akionekana kafanya vizur bas mnampeleka sehem nyingine, na akipelekwa huko kwengine anatumbuliwa..
Mfano mdogo, yule jamaa wa mambo ya Meli, Mr Eric.. alikuwa vizur sana sana huko, kapelekwa kuwa MD wa TPA katumbuliwa juzi, na wengine tu..
Hapo kwa wizara ya kilimo nataka huyu Bashe awe wazir wa kilimo kwa zaid ya miaka 10, nakumbuka niliwah kusema hili..awe wazir wa kilimo at least 10 yrs
Nashauri, mtu akiwa smart eneo flan mweken hapohapo kwa miaka mingi zaid, hizo positions nyingine watafuten watu wengine na sio kuwaondoa hawa wanaofanya vizur na kuwapeleka huko kwengine
Hehe pitien hapa (another day I learn of wacha mda uongee)..Mzee wa kubisha umefika hehe..
I wanted to reply something ila wacha nisave nguvu niendelee na mambo mengine
Nimekuambia huko kwenu hamna daraja ya 8-lane kama hii. Na hamtawahi kuwa nayo.Sio modern alaf ni dwarf kadaraja na mita kadhaa
Alitolewa na nani??Hehe pitien hapa (another day I learn of wacha mda uongee)..
alietoa tender kwa ajili ya ujenzi wa meli kwa kampuni ya briefcase haina shipyard ndo karudi sasa [emoji1241][emoji1241][emoji8]View attachment 2314265
Halitawahi kuwepo wakati JPM Bridge ni 8 lanes 😁😁😁Nimekuambia huko kwenu hamna daraja ya 8-lane kama hii. Na hamtawahi kuwa nayo.
Alitolewa MD-MSCL na kuteuliwa kuwa MD-TPA na mama, baada ya ishu ya Deus Kakoko. Juzi katenguliwa TPA, saiz karudishwa tena MSCLAlitolewa na nani??
Leta evidence. Mimi nimeweka yangu. Wewe leta evidence.Halitawahi kuwepo wakati JPM Bridge ni 8 lanes 😁😁😁
Hii barabara inaenda TISS [emoji41]View attachment 2314171
Hizi underpasses zipo nyingi sana zaidi ya 20 kwenye mitaa tofauti Dodoma!
i Ana punch eehh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hamuniwezi nyie vichochoroo mnahangaika bure mavi yenyy
Kama sio modern na ni dwarf then it doesn't make senseNimekuambia huko kwenu hamna daraja ya 8-lane kama hii. Na hamtawahi kuwa nayo.
Cha kuchekesha zaidi ni 200m or ??😂😂😂😂Rais Uhuru amezindua makupa bridge, Mombasa. (Hii ni daraja ya 8 lanes ambayo haipo Tanzania nzima)
View attachment 2314245View attachment 2314246View attachment 2314249
Cc Geza Ulole
The best 007
ichoboy01
Mchina ni mpigaji siku zote.kampuni ya kishenzi ya kichina imepewa mradi unategemea nn?
Acha ushamba wewe.Crypto is not a safe investment.