dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,151
Honestly wakulima ni hard worker sana tatizo kubwa ni miundombinu na viwatilifu plus proper knowledgeNa hauwezi kuingia kwenye nchi ya viwanda bila kufanya mapinduzi kwenye kilimo.
Kunapokuwa na kilimo cha kisasa na mazao kuongezeka Kwa wingi ndio kunatengeneza nafasi ya kuibuka Kwa viwanda vidogo na vya Kati Kwa wingi ili kuchakata na kuhifadhi hayo mazao.
Ushaanza kupanic sasa siulikimbia humu ukaja na id nyingine 😂😂😂😂Kwani unadhani gari ni nyanya zinauzwa kwa soko. 🤣🤣🤣 Mumezoea informal economy hadi hujui car manufacturers hutumia dealerships kuuza magari.
Waume zenu wamesema alaf mukishachinjana wanasema kenya sio salama na ni failed state 😂😂😂Hapa sasa ndio utaona wivu battalion wakishikwa na wivu. Wakati wa kura ya Republic of Lazystan, USA hata haikutamka lolote.
Cc Geza Ulole joto la jiwe coodip1 chongchung
ichoboy01 The best 007
Kazi imeanza sasa walikua wanatafuta sababu na sasa wameipata ya kusafisha uchafu taiwan 👇👇😀😀😀Fake superpower
View attachment 2313060
Ipo naiona inapita hapa vingunguti nimeshaizoea wewe je huko kwenu umeshawahi hata kuiona hiyo electric train?Sasa wewe hapo Vingunguti una experience gani na electric trains?
Clowns are chinese barking without moving an inch. Wanaoharibu dunia ni hao ambao ni non democracies.Pelosi, Biden and Harris are all clowns. 2024 is quick approaching waondoke, wameharibu dunia kwa vita
Nje ya cbd unawatoa kwenye reli hawana mji ni slums, pipeline na Gikomba style structures tuuNaongelea neighborhoods au barabara za mitaani au ninyi mnasema estates, kuna streets za Nairobi pana kama za Mtwara zenye solar powered lightning, drainage for storm water, marked with pedestrian sidewalks kama Mtwara?
Siongelei CBD
Unafikiri Ruto akishindwa atakubali?Hapa sasa ndio utaona wivu battalion wakishikwa na wivu. Wakati wa kura ya Republic of Lazystan, USA hata haikutamka lolote.
Cc Geza Ulole joto la jiwe coodip1 chongchung
ichoboy01 The best 007
Karopoka alichoongea Hichilema ni rehabilitation na haimaanishi kutembelea SGR Tanzania ndo kubadili reli ya TAZARA kuwa SGR. Hizo 1800 km hata kwa rehabilitation ya the whole track alone inaenda ku-cost ni zaidi ya $1 bln si mchezo!Ndo akili za mama hizo anataka TAZARA iwe SGR. Labda wachina wajitolee bure kuibadilisha kuwa SGR
2019!Tweets liked by SSH!
View attachment 2313303
Uhaba wa mtaji, ukosefu wa masoko, miundombinu mibovu wanashidwa kusafirisha mazao kwa wakati, hivi na ulivyovitaja vinawakwamisha sana wakulima wa nchi hii.Honestly wakulima ni hard worker sana tatizo kubwa ni miundombinu na viwatilifu plus proper knowledge
Ndo akili za mama hizo anataka TAZARA iwe SGR. Labda wachina wajitolee bure kuibadilisha kuwa SGR