Wacha ni ipatie Kakamega town.., tuone..,Hahaha we mwenyewe Umeona
Ukweli usemwe, miji ya Tanzania ina Streets nzuri kuliko ninyi, na miji yetu ipo yote leveled on public necessities, there's no that huge difference between popular cities/towns and other unpopular in Tanzania like Kenya
naomba mji wa Kenya wenye replica ya Mtwara, kuwa honest
Naona upgrade hapa itakuwa laying of new tracks continues welded, increased tonnage per axle and electrification of the rail, modern communication and signalling systems and improved marshalling yards and service workshopskwahiyo solution kwenda SGR? Hivi wabongo mnakengeuka na nn na SGR? mizigo karibu yote inaenda Durban port je wana-SGR? Kwahiyo tuingie cost ya billions of dollars kujenga reli mpaka Kapirimposhi ambayo haitaweza kupokea mizigo kiushindani beyond Kapirimposhi!
Rais Hichelema hajatamka SGR ku-replace Cape Gauge ni ulimbukeni wa media za the Citizen na hata wizara ya Miundombinu hawajasema watabadili Cape Gauge kwenda SGR! As a matter of fact wame-retweet post ya Hichelema.
Suala la mkataba litashughulikiwa kwa vile hamna kampuni ya binafsi itakuwa tayari kuwekeza kwenye TAZARA yenye contract kama zilivyo bila kuruhusu recruitment based on merit from open job market!
Lungu alikuwa kikwazo! Na kama umepitia writtings za mradi wa Mtwara Development Corridor hata reli ya Mtwara ambayo ipo chini ya MDC itakuwa Cape Gauge!
Kigoma and Mtwara 2000 kilometers distance aparting, better cross section variable analysis for human development beyond Tanzania, we're not that bad!
Mi worry yangu kubwa ni kuhusu hizi bilateral contract , wala si support tazara iwe SGR , kwanza waongoze efficiency kwenye infrastructure zilizopo maana zipo under utilized .kwahiyo solution kwenda SGR? Hivi wabongo mnakengeuka na nn na SGR? mizigo karibu yote inaenda Durban port je wana-SGR? Kwahiyo tuingie cost ya billions of dollars kujenga reli mpaka Kapirimposhi ambayo haitaweza kupokea mizigo kiushindani beyond Kapirimposhi!
Rais Hichelema hajatamka SGR ku-replace Cape Gauge ni ulimbukeni wa media za the Citizen na hata wizara ya Miundombinu hawajasema watabadili Cape Gauge kwenda SGR! As a matter of fact wame-retweet post ya Hichelema.
Suala la mkataba litashughulikiwa kwa vile hamna kampuni ya binafsi itakuwa tayari kuwekeza kwenye TAZARA yenye contract kama zilivyo bila kuruhusu recruitment based on merit from open job market!
Lungu alikuwa kikwazo! Na kama umepitia writtings za mradi wa Mtwara Development Corridor hata reli ya Mtwara ambayo ipo chini ya MDC itakuwa Cape Gauge!
Ni kama wengine wenu hamjui maana ya SGR ni nini.🤣Kifuatacho. Upgrade Tazara to SGR
View attachment 2312727
Kakamega ina GDP kiasi gani?Wacha ni ipatie Kakamega town.., tuone..,
Kwani unadhani gari ni nyanya zinauzwa kwa soko. 🤣🤣🤣 Mumezoea informal economy hadi hujui car manufacturers hutumia dealerships kuuza magari.Dealership wewe ni mwehu kweli kununua gari ni lazma kuwe na dealership😂😂
Tatizo lenu munajifanya wajuaji alaf hamunazo ulidanganywa na nani kua ukinunua gari lazma kuwe na dealership
Tena wanakuja mara moja kwa mwakaKuna faida gani kiuchumi kuwa na train toka South Africa kuja Tz na watalii 30 Vs usafirishaji wa mizigo mingi zaidi kama vile Shaba kati ya Zambia na Dr Congo na Bandari ya Dar ?
Nimeangalia ya club maarufu kenya.. girl maria.. nimekuta wana 41k, wamepitwa hadi na ihefu fc (76k)Wakunya kweli ni waongo sana wanakwambia wao EAC ndo wanaongoza kwa kutumia internet lakini timu zao hazipo