Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ni both passengers and cargo! Chini trucks zenye cargo zitaingia pia mbali na cargo japokuwa limited


That's containized cargo ship! Ila mnachojenga pale kisumu ni wagon ferry a type of ship! Hamna ubishi juu ya hilo!

View attachment 2312597
That definition ya ferry suits MV Mwanza perfectly, yaani ni ya mainly for passengers and some cargo; " A ferry is a ship used to carry passengers and sometimes vehicles and cargo..." MV Mwanza ni mainly Ferry..,
 
Wananchi hawamtaki huko Taiwan
 
You cant be conversant with issues of electric trains to know which systems are station based and which are not sababu hamna experience na electric sgr operations [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Insha ndefu ya nini mzee huo ndio ukweli station yenu ni nyumba ya residential.
 
Wako vizuri,watu wasiojali wapo bize na mambo yao
Kipara mradi wa nyerere hydropower ungemletea heshima sana kwa kusudio lake,lakini kwa vile ule mradi utakua tija kwa walalahoi kitu ambacho yy na walamba asali wenzake hawakitaki,basi kakomaa kugawa majiko ya taifa gas ya rostam! mwigulu akili yake iko kwenye kuturundukia zigo la tozo nape yeye kupandisha vifurushi!
 
Sasa hili ndio tatizo lako, kutaka kile unachofikiria wewe au ninyi wakenya ndicho hichohicho kifanyike. China ilitoa onyo kale kwa USA Kabla Pelosi hajatembelea Kenya, haikusema itachukua hatua gani na lini.

Sasa wewe umeshatoa uamuzi kwamba China haijafanya lolote kwasababu ulitegemea watungue ndege au washambulie Taiwani ndani ya muda unaotaka wewe. Subiri tuone ni mapema Sana kusema lolote.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
China hawezi fanya ujinga wa confrontation na US. China bado anategemea sana masoko ya magharibi kwa uchumi wake.
Mkuu haya maneno yalisemwa kabla ya Urusi kuivamia Ukraine, kwamba Urusi inategemea Ulaya na Marekani katika masoko na kila kitu kwahiyo haiwezi anzisha vita na Ukraine

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kifuatacho. Upgrade Tazara to SGR
View attachment 2312727

I hope there will be a good deal into this,
A double track, electric, high speed at least 200 -250kph will make lot of economic sense, this will not only strengthen & Open more trading opportunities in the SADC Block but also significantly minimize the transit time for cargo to DR Congo,
The distance between Kapiri Mposhi and Lubumbashi is only 350km.
DR Congo is the future, worthy enough slicing n dicing for [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…