Kumbe mv mwanza na the largest in the great lakes region...MV Mwanza ambayo huwa unatusumbua nayo hapa inabeba only 400 tonnes of cargo. Wakati MV Uhuru I inabeba 1,200 tonnes of cargo na MV Uhuru II inabeba 1,800 tonnes of cargo. Siku nyingine usirudie kupost picha ya MV Mwanza huku.
Tanzania: MV Mwanza Project Now Reaches 25 Pc
CONSTRUCTION of the state-of-the art ship has now reached 25 per cent, with overall supervisor, Engineer Abel Gwanafyo of Marine Services Company Limited (MSCL) asserting that the modern vessel will be in operation next September.allafrica.com
Nakuru will sprawl like crazy because one can only build short buildings due to geology of the rift valley. The only way for Nakuru to grow is to expand in areaNax Vegaz iko on steroids! Hii Nakuru after next five years sipati picha!.., elavated expressway across their CBD pia iko loading!..
Wacha upuuzi. MV mwanza inabeba tani 400 ya mizigo na abiria 1200. Hata tuki-assume kwamba kila abiria ana kilo 100 hao abiria 1,200 watakuwa na jumla ya uzito wa 120 tonnes. Kwa hivyo MV Mwanza ina uwezo wa kubeba 520 tonnes pekee. Linganisha hako katoto na MV Uhuru II ambayo ina uwezo wa kubeba 1,800 tonnes yaani mara tatu ya MV Mwanza hata ukijumulisha mizigo na abiria kwa pamoja.Kumbe mv mwanza na the largest in the great lakes region...
Au hio hujasoma
Hebu soma paragraph ya mwisho...
Ulitaka meli ya abiria 1200 ibebe na tani 1200?
Ya mv mwanza inajengwa kurahisisha usafiri kati ya miji mikubwa ya mwanza na bukoba...
Bado kuna mv victoria inayobeba abiria 1200 na tani 200
Bado kuna mv butiama...
Bado kuna mv nyakibolya
View attachment 2312267
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mjomba ndio kabakisha week tu daa hadi huruma ...ikulu kutamu
So what's so special? How many MW of power is this dam producing? If it doesn't generate power then it is similar to cow ditch or some any other irrigation scheme! No need for unnecessary noises!
Rais Uhuru amezindua kampuni ya kutengeneza nguo inayoitwa Dada EPZ huko Kisumu. Kampuni yenyewe tayari imeajiri wafanyikazi 300 on a permanent basis. Nguo zenyewe zinakuwa exported.
View attachment 2312280View attachment 2312281View attachment 2312283
Cc Geza Ulole
Show us how many tonnes of goods through Mombasa port go to other countries, 90% of cargo through Mombasa port goes to Nairobi.We are surrounded by many countries is transiting less than 7M tonnes to those countries [emoji23][emoji23]
Sasa kwani MV Mwanza ni Cargo ship?, Hiyo mainly ni kwa ajili ya abiria, kitu muhimu ni iwe na Kasi zaidi, very luxurious and safety.Wacha upuuzi. MV mwanza inabeba tani 400 ya mizigo na abiria 1200. Hata tuki-assume kwamba kila abiria ana kilo 100 hao abiria 1,200 watakuwa na jumla ya uzito wa 120 tonnes. Kwa hivyo MV Mwanza ina uwezo wa kubeba 520 tonnes pekee. Linganisha hako katoto na MV Uhuru II ambayo ina uwezo wa kubeba 1,800 tonnes yaani mara tatu ya MV Mwanza hata ukijumulisha mizigo na abiria kwa pamoja.
Cc Geza Ulole