Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunya hii habari huwa hawaipendi sn, wakiiona inawanyima raha wanatamani isiwepo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mmoja alishaapa kabisa hili Bomba litachukua miaka 50 kujengwa 😀😀😀😀
 
Hili uchafu unakera sana katika mji unaonyesha Jinsi viongozi walivyowazembe kufanya jambo na pia wananchi wanatakiwa wawe wa kuonyesha mfano waache kutupa taka ovyo ovyo inakera sana
Hiyo ni culture yenu, ni utambulisho wa mkenya, pia ni utambulisho wa ka Nairobi so ibaki hivyo hivyo.
 
The rest of us get the most stupid ones. I can name you 3 or 4 major EAC institutions based in TZ. This central bank thing is very serious. It cannot be compared to any other institution. These people already host the EAC headquarters, EAC parliament and EAC court of Justice. It is absolutely stupid and senile to also give them the EAC central bank. Huu ni upumbavu. Kwani wao ni mungu so that they get 4 major institutions wakati sisi hatuna hata moja? Huoni kuna shida hapo? Hapa lazima patachimbika.
 
Mali zote za EAC ni lazima ziwe Tz kwa afya ya EAC.
 
Am seeing a mix of Kisumu and Nairobi.., second pic ni kisumu na southern bypass..., though Eldoret has two like those at Maili tisa on Uganda road off to Malaba and one from Eldoret International Airport.., road going to Kisumu from Eldoret..,


Section of Eldoret town..,
 
Sasa Tony hebu wacha upumbavu ulitaka bank ya EAC makao makuu yawe wapi kama c Tz? Unataka yawe Rwanda? Uganda? Burundi? Mana Kenya haina nafasi hiyo, sasa ww kati ya hizo nchi zenye nafasi unataka headquarters ziwe wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…