Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo hajui chochote hakuna kitu wazungu wanaogopa kwenye mazingira yao kama gas za AC. Majira ya joto ni mafupi na wazungu wengi hawaitaji baridi wanafurahia joto unless kuwe na heat wave ambayo nayo huwa ni siku moja au mbili ndio utaona wanateseka.
 
SAPP Southern Africa Power pool kuna deficit kubwa sana especially from South Africa na sisi tumeunga huko ndio tutapeleka umeme. Sisi hatufanyi miradi bila feasibility.
 
And I never said that these forms of cooling/heating aren’t used over here. What the weird dude said is Europeans and Americans DO NOT need Cooling systems at all, as it’s “always” cool here [emoji23]
You are wierdo who pretends to be in the USA. Huko hakuna houses na AC units bwana acha kushift gear angani na kugeuza geuza maneno eti now unasema cooling systems badala ya AC units kama ulivyosema hapo awali na kwamba nyumbani kwako unayo [emoji1787]
 
Though Kenya might still get power from Tz.., the more the cheaper..,
Hatuleti umeme huko mzee mahitaji yetu ni makubwa sana as we are now connecting major mines in Tz to the national grid plus additional mines that are coming up.

On top of that we have needy neighbours from the South.
 
Ninyi si mnawachimbia visima vya Geothermal hao Ethiopia?, Mbona mnanunua umeme toka kwao?, Sasa hivyo visima vyenu vya Geothermal mtavifukia au mtafanyia nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Jamaa maisha yao ya maigizo sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ninyi si mnawachimbia visima vya Geothermal hao Ethiopia?, Mbona mnanunua umeme toka kwao?, Sasa hivyo visima vyenu vya Geothermal mtavifukia au mtafanyia nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yani wanamchimbia mtu visima vya kuzalisha umeme alafu wanarudi kwa mtu huyo huyo kununua umeme, jamani mnaona usanii wa hawa Wakunya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shukrani sana mkuu [emoji120][emoji120]

Bila shaka na wengine wenye tatizo kama hili watafuata huu ushauri wako.
Cholesterol mbaya sana watu wengi wanatembea nayo bila kujua wanafikiri mpaka uwe mnene ndio upate Cholesterol.
 
 
And I never said that these forms of cooling/heating aren’t used over here. What the weird dude said is Europeans and Americans DO NOT need Cooling systems at all, as it’s “always” cool here [emoji23]
Embu tupia picha ya hiyo AC unit hapo nyumbani kwako Eastern United States tujiridhishe kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa jamaa wamechanganyikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unabisha kuwa organization yake haichangii kiasi kikubwa cha fedha? Haya hii ni screenshot kutoka jarida la reuters, sema tena hicho ni kijarida cha kuokoteza.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…