Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wanakufa kwa vicheko huko 🀣🀣🀣🀣🀣, we jamaa kwakweli hapa, haya endelea kujimaliza Ili nikianza kukupiga ukimbie hii battle for a while
 
Cha ajabu nini hapo, ombaomba mzungu? Wacha upumbavu mjinga wewe, ombaomba wapo dunia nzima.
 
Saivi battle ni viwanda 🀣🀣🀣 aliyoianzisha bwana Don YF kupitia this πŸ‘‡the so called industrial Park 🀣🀣🀣, kwamba Tanzania hakuna kitu kama hicho kinachoonekana hapo juu 🀣🀣🀣,
 
kwani unaelewa nn maana ya neno upgrade ya PAX terminal aliyosema Mbarawa? Na zipi plan zilizopo za Arusha airport unazozijua wewe? Hamna plan ya ku-upgrade Arusha airport to international (category D)! Kwa hiyo kwa jinsi ulivyo wakijenga jengo la size ya Mwanza Airport tayari utakuwa international airport kuruhusu B747? Wacha kukurupuka u r smarter than that!
 
Umesahau Magufuli bridge.. the longest bridge in East & Central Africa
 
😳Nimeomba maelezo (any explanation) umeanza kutukana? khaa..
Nimetukana wapi wakati hata ulichoni-quote nilisema international airport si feasible with Kilimanjaro international airport (category D) at a proximity of 50 km apart? Kwani huelewi nn nilichoandika last time mpaka kuanza ku-twist opinion yangu? I think u r smarter than what u r trying to do now kwa vile hamna mahali nimepinga jengo jipya la abiria!
 
Umeambwa maelezo sio kuniuliza tena maswal as if Im much know about everything πŸ€·β€β™‚οΈ
 
Umeambwa maelezo sio kuniuliza tena maswal as if Im much know about everything πŸ€·β€β™‚οΈ
Prof Mbarawa hajamaanisha international airport hapo Arusha kasema upgrade ya jengo la abiria! Hamna mtu anabisha juu ya hilo! Wakajenge jengo zuri kama la Bukoba/Mwanza/Songwe na apron ya ku-park ndege ni sawa!
 
How does a port stop roads from being used?
 
Cha ajabu nini hapo, ombaomba mzungu? Wacha upumbavu mjinga wewe, ombaomba wapo dunia nzima.
anyway pia mombasa wapo. pia mtwapa, kilifi na malindi.
malindi hasa utawapata waitaliano, wakiishi maisha chochole tu. hii ni kitu cha kawaida sana pwani mwa Kenya. kuona wazungu wamefyatu live
 
anyway pia mombasa wapo. pia mtwapa, kilifi na malindi.
malindi hasa utawapata waitaliono, wakiishi maisha chochole tu. hii ni kitu cha kawaida sana pwani mwa Kenya. kuona wazungu wamefyatu live
Kwa wale ambao hawajui Unga wa Yanga na mahindi ya njano.. Waende Mombasa port Sasa Kuna meli inashusha chakula cha msaada Kwa wakunya wanaokufa Kwa njaa.

Mara ya mwisho kusikia nchi inapatiwa msaada wa mahindi hayo ya kulishia mifugo ni miaka ya 70's.

Na Sasa Jayden kaombea ng'ombe zake zipate msaada wa chakula.
 
Rapidly developing DODOMA πŸ‘‡. πŸ‘‡. Kama wewe ni mkenya usiangalie hiz videos utakosa amani bure
Nyumba zenyewe muonekano wa kizamani, zile estate za Kenya za zamani wakati niko shule ya chekechea, yaani ndio mnatoka porini unadhani mmefikia Kenya, bado sana dogo.., ndio mnaanza kuona estates in 2020s.., mko down sanaπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…