Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mambo ya mwaka arobaini na saba unatuletea hapa. Tukiwaambia mko nyuma mnabisha.
 
🀣🀣🀣🀣 Wacha kuwa fala we jamaa Nairobi haiwezi tia pua hata kwa top ten kwa miji mizuri zaidi Africa, we taja EA nitakuelewa, kupata express way moja kusikufanye ujae ujinga, kama Nita rank top 10 cities in Africa lazima from namba 1-5 ni SA cities then Morocco then Egypt, hizo cheap apartments zenu zisikufanye uji place mbele ya Big boys bro, and by the way hakuna Concrete jungle hapa EA inaweza shindana na Dar
 
please hebu visit any website ama any video clip, alafu ucheck nairobi consistently places at wht No. if not 3rd or 4th.. please please abek
 
Nairobi vs Dar ni jokes tu, no battle whatsoever, hawa wanajichocha tu., it is too obvious u can't compare the two, liko wazi sana bana πŸ˜‚ πŸ˜‚ so ni excuse ya slums, sijui tuko na hiki na nyie hamuna nyef nyef.., have u ever seen people comparing Dar to Joburg like they do Nairobi? not Kenyans other Africans? even though Jozi is way ahead.., hapa ni entertainment zone.,
 
Ukweli unauma aise! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Watajitoa ufahamu wazi wazi hapa.., google itawaambia pia, youtube itaonyesha wazi wazi..,lakini watajitia hamnazo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…