Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ila bado nimebobea sana katika hii fani ya hii lugha tamu ya kiswahili, yani lugha iliyo na mishororo na tanakana za sauti. yaki kiswahili nakienzi ile mbaya!
Tanakana au tanakali? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Speaker wenu hata kusoma kiswahili hajui πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Just wondering mbona hii story ya Nairobi kuwekwa top 50 best destinations in the world ilikera sana watanzania online???? Wakijua wanacomment negatively na hata si Kenya imeweka ni TIMES... Hadi nikaona south Africans wakiwaambia Africans should stop jealous and appreciate each other... Nani abaweza nijibu hili?
 
I spoke from facts, ungefanya utafiti kudhibitisha kabla ya kukurupuka
 
Mwanza, kama tu Dar, the face of standards ya housing in TZ kwa wingi, google earth will prove thisπŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ lakini hiiπŸ‘‡πŸ‘‡ Land Rover ni beast! I liked it, sijui kwa nini Landrover stopped its production na waliamua kuleta slay queen in its place., it does not feel the weight!!..,

Beast



Slay queen Land roverπŸ‘ŽπŸ‘Ž
 
Wewe am sure hata wenzako wanakushangaa. Eti sasa street sio barabara! Kuna ujinga zingine za kuzaliwa tu

I was referring to Tom Mboya Street in Nairobi ambako ndugu zako hufanya ile kazi yao.
hvi ww swali langu umelielewa kweli ?? ww hujaona wenzako wamekaa kimya washajua kua mlango wakutokea haupo🀣🀣🀣🀣. nimekwambia nioneshe streets za mombasa zinazoweza fikia level ya mwanza na ukipata nitag nifunge acc

unaanza kunionesha main roads ambazo zimerekebishwa juzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unafkiri mwanza hakuna main roads au??
 
umesema tom mboya ukataja na avenue nikakwambia ni main roads na ushahidi nimekupa sasa nataka unioneshe streets za mombasa na sio zile mwenzako kapost parking za hotel na mallπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


au ww unafkiri mm sijui kama hilo swali halitajibiwa mpaka kiyama
 
πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Huna utafiti wowote, ninyi kwenu wazungu ni zaidi ya Mungu, mna waabudu Sana. Hizo nchi idadi kubwa ya wageni ni wahindi, Bangladeshians, Chinese, Malaysians, and Europeans

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wivu ndio inaongea hapa., ona ulivyo mjinga, haujui lolote wewe, hao umetaja kwa wingi ni vijakazi tu, not developers, wazungu and chinese are developers and investors kwa wingi, idiocy on steroids as usual πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…