Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar Moro 180 kilometers
View attachment 2289216


Kisumu Nairobi 380 kilometers
View attachment 2289217


[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wakenya walishangaa kuona Dar to Moro kuna buses za viwango namna hii walidhani zinapitia tu Moro zen zinapiga route ndefu jamaa washamba sn sijapata kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe ukilaza haitawahi kukutoka. Uelewa wako wa neno street ni nini bongolala?

kwa hivyo street sio barabara au argument yako ni nini haswa? Tom Mboya Street au Moi Avenue are they not roads?
nataka unioneshe streets za mombasa na sio main roads kenge wewe 😂😂😂 au unajifanya hujui maana ya streets



 
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-165741.png
    206.4 KB · Views: 30
  • Screenshot_20220710-192258.png
    158.2 KB · Views: 31
  • Screenshot_20220713-184512.png
    130.7 KB · Views: 33
  • Screenshot_20220713-184653.png
    34.3 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…