Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

thanks for renders bro
i love the rendersπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

bado mziki wenu ni duni,ndio maana music/media tour za wanamuziki wenu wengi ni within kenya(mombasa,western and central kenya).
most of your music artist can not conduct massive music/media tours outside kenya cos are not known internationally.

wanamuziki pekee wa kenya ambao walikuwa na muelekeo wa kimataifa ni sauti sol,sijui wamepatwa na masahibu gani.
2017 ni kama sio mwaka wa bahati kwao.hawasikiki.

calif jones na wengineo bado wapo ki-local sana japo wanajitahidi.
wana safari ndefu ya kujijenga kimataifa.imagine calif jones mpaka leo hajawahi perform dar es salaam.
kama aliwahi basi his performance wasn't successful, maana EA yote ingejua kuwa calif yupo dar es salaam.

sisi wanamuziki wetu kila siku wanazunguka dunia wakialikwa kutumbuiza katika nchi mbali mbali sambamba na kufanya media tour.

take a look at this,pay a closer attention to the tagged location or places mentioned on the caption.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Kadoda hapo mko juu yetu...sijui music ya kenya ilipotelea wapi siku hizi.
 
I hope camp mulla na pia Tergat Gang watatufikisha hiiii level ya kingKiba one day
 
Kadoda hapo mko juu yetu...sijui music ya kenya ilipotelea wapi siku hizi.
Asante...ila bado hatujafika....inabidi watengenzwe akina diamond na Ali kiba wengi zaidi.

mpaka sasa sijaona wadau wa muziki wakichukua juhudi za kimakusudi za kuandaa vijana wa kurithi nafasi ya diamond na kiba.siku wakiporomoka na mziki wetu nao utaporomoka.
 
I like Ali Kiba. he is such a talent. But shida ya our music ni copy ya other syles. Coast naona wanajaribu bongo. Nairobi wanajaribu Jamaica na Hip Hop kama za USA, pia niliona Nigerian. Kuna Rock bands that try rock music na Heavy metal. But ziko on the rise.
 
hey what is going on with sauti sol...they are my favorite music band from Kenya but I don't hear any new stuff coming from them.are they still together?.

any new track?... update please.
 
hey what is going on with sauti sol...they are my favorite music band from Kenya but I don't hear any new stuff coming from them.are they still together?.

any new track?... update please.
I guess wako together bado. But I have not heard anything new from them
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…