Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa ku prove kwamba maeneo yenye mazingira mazuri wanakaa wanasiasa ila kina Nicxie ambao ndio wengi wanaishia kuishi maisha wanayoishi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe nimeshakueleza mara nyingi kwamba Wamaasai hawakuondolewa Mau forest lakini husikii. Mbona usiingie youtube na kufanya research yako. Sitaki kutaja kabila iliyoondolewa huko lakini wewe fanya research yako mwenyewe utajua. Kuhusu kichapo, tegemea Wakenya tuendelee kuwachapa kwenye suala hili. Hata UN tutawashtaki.
 
Na huku? Olkaria?


Vitasa kwa huyu mpumbavu!




 
Tunawapiga kote kote, kwenye soka, miundombinu mpk utalii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7][emoji1241][emoji1241]
 
😂😂😂 We jamaa ni mbishi sana sijui una shida gani .. nikikwambia huu ni usiku sitaki nikukoseshe amani, ona sasa 👇 .
I have watched the entire 12 minutes of the video without skipping a thing and this is what I have seen:

1. That video talks about a gated community in Zanzibar called 'fumba town.'

2. Within that estate there are several houses ranging from apartments to villas and ONE mansion.

3. 80% of the video talks about the villas, with the remaining time allocated to the apartments and the single mansion.

4. The villas cost $400,000 while the apartments cost $100,000. As for the mansion, there's NO MENTION OF THE PRICE in the entire video sasa sijui hiyo $10,000,000 umetoa wapi. Actually, the mansion is not even featured, it was just mentioned.

5. Wacha kupotosha umma by bringing fabricated and unverifiable infirmation.

Nairobi's most expensive house is called House No. 12 at Magnolia Hills Estate in Kitisuru, valued at $6.5 million! Yes, and everything is verifiable, unlike the hot air information you provided



 
Kama ziko mingi mbona hamna estates za hizo nyumba? Ukinionyehsa nyumba ikona man-made waterfall in Tanzania nitafunga hii account. 🤣🤣🤣



Hii iko Kitisuru and I have already shown him. The most expensive house in Nairobi at the moment
 
Embu tuoneshe passengers marine vessels za mombasa tuone halafu tulinganishe na za Zanzibar [emoji28]
Hebu nionyeshe marina hapo Zanzibar kisha ulinganishe na ya Mombasa

Hebu nionyeshe an elevated road hapo Zanzibar kisha tulinganishe na ya Mombasa
 
That's $2 million bongolala. This is $6.5 million! [emoji2][emoji2][emoji2]
Umebadilisha tena baada ya kuona kuna nyumba ya $10ml Tz naona ushamba umekutoka sasa, ushamba wa $1ml umekutoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu nionyeshe marina hapo Zanzibar kisha ulinganishe na ya Mombasa

Hebu nionyeshe an elevated road hapo Zanzibar kisha tulinganishe na ya Mombasa
Kwanza niambie mm, ushamba wa $1ml umekutoka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…