Apa hamna tofauti na mombasa..Nyumba za kiswahili zimejaa..Honestly i hate such type of houses..Kwanza kukinyesha..waga matope ni mingi..alafu majority of houses za uswahili waga zina poor drainage system..wacha tuonge tu ukweli..Alafu afadhali kibera wanaanza kujenge flats...Hivi mbona mnapenda such Kind of houses?Oya we Nicxie Tandale streets 👇nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani 😂😂😂 cheki Tandale hii👇 hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa ☝️
Nyie ni wa kuwekewa fence tu maana hata huyo pilot alivyoinyanyua inakaa in a haste kumkimbia jamaa wa kudandia, who knows if that take off could have developed throttle lever- or other mechanical error and cause fatal accident to that chopper?Video inaonyesha alivyopanda chopper. Video ya awali haikuonyesha alivyopanda chopper.
Cc Geza Ulole
Heb pitia discussion kuanzia mwanzo Ili uelewe hiyo post yangu, usiwe kilaza wa kudandia magari kwa mbele, na hata hivyo mvua ikinyesha Hakuna tope Tandale kwasasa kwasababu barabara nyingi kama si lami basi ni zege, huwa nikipita Tandale kila siku nikiwa naenda kazini na nikirudi piaApa hamna tofauti na mombasa..Nyumba za kiswahili zimejaa..Honestly i hate such type of houses..Kwanza kukinyesha..waga matope ni mingi..alafu majority of houses za uswahili waga zina poor drainage system..wacha tuonge tu ukweli..Alafu afadhali kibera wanaanza kujenge flats...Hivi mbona mnapenda such Kind of houses?
Hivi unajua kila wakiagiza sukari, ngano na maize huwa hakosi kwenye tender!Cartel ya kenya haiwez kuruhusu bakhresa afungue viwanda kule maana bei zake ndogo ataharbu biashara ya nyang'au..
Kwanini msiwatoe kama wapo illegal hawawez kuwaharbia miji wakati cio wakenya ....wizara yenu ya uhamiaji inamatatzo mzeeWatanzania wamejaa Kenya babaa. Of course most of them are here illegally
Quality ya hizi barabara hata poshy suburbs za Karen, Westlands, Runda Estate na Kileleshwa huwezi pata! Kuna mkunya anabisha? Nimwage mpunga humu?Oya we Nicxie Tandale streets 👇nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani 😂😂😂 cheki Tandale hii👇 hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa ☝️
Kwani Diamond kwao ni Tandale au Mbagala? Kuna ule wimbo wake wa kwanza inayoitwa Mbagala.Wakati natembea tembea Tandale nikaulizia nyumbani alikozaliwa Diamond Platnumz, mtu mmoja akanipeleka 👇View attachment 2273271View attachment 2273272nimefurahi sana kufika hapa since I'm diamond Platnumz's number one fan, nilivyofika hapa safari yangu ya ku explore Tandale ikagomea hapo
Ule ni wimbo tu, Diamond kwao ni Tandale, hata music album yake ya tatu nadhani ilipewa title A BOY FROM TANDALE 👇Kwani Diamond kwao ni Tandale au Mbagala? Kuna ule wimbo wake wa kwanza inayoitwa Mbagala.
Duh!!Oya we Nicxie Tandale streets 👇nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani 😂😂😂 cheki Tandale hii👇 hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa ☝️
If it's about tamarc roads then even Kibera has themOya we Nicxie Tandale streets 👇nilivyokua nakwambia Tandale ziko na mitaa Safi kuliko huo upuuzi sijui guthirai yenye gorofa za udongo, hakuna lami wala sewage system, taa za barabarani 😂😂😂 cheki Tandale hii👇 hadi walk ways wanazoView attachment 2273239View attachment 2273240View attachment 2273241View attachment 2273248View attachment 2273249View attachment 2273251angalia mifereji ilivyomikubwa ☝️
😂😂😂 Unanionyesha high way we mwehu.? Angalia hizo za street level zilivyo hovyo, na ni kuchafu mno, heb toa huu uchafu
where is the quality?