safi lazima pawe productive hapa ..kuendeleza kuzungusha pesaUjenzi tayari umerejea tena mradi wa seven eleven [emoji116]View attachment 2271821leo nimekuja zangu kupoa Kawe beach nikaona mafundi wamerejea kazini [emoji116]View attachment 2271822
Nimeacha mkuu ila jamaa hawa wawa danganye wasio ijua mombasa! Wasituone tumekaa kimya wakatuona wajinga kuna picha ninazo sema aibu!Kiongozi acha kuvua watu chupi hadharani sio vizuri wafichie aibu yao.
Sasa hiyo ndo somo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza yule boss aliekua anakuja dsm aliishia wapi?Tofauti yake na dar ni gani?
Ebu weka hizo aibu, tuone kama dar hazipo.Nimeacha mkuu ila jamaa hawa wawa danganye wasio ijua mombasa! Wasituone tumekaa kimya wakatuona wajinga kuna picha ninazo sema aibu!
Tuna mapungufu sana bongo ila hawa jamaa 😔😔😔😔😔😔
Hilo ndio somo la leo nataka ulishike, hakuna kipya utatuonyesha ambacho hakipo dar.Sasa hiyo ndo somo? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwanza yule boss aliekua anakuja dsm aliishia wapi?
Toka kwenye hilo andaki utoe ushamba japo kidogo siku ukija dar uone huo upupu na wewe aachia😁Hilo ndio somo la leo nataka ulishike, hakuna kipya utatuonyesha ambacho hakipo dar.
Siweki !😁Ebu weka hizo aibu, tuone kama dar hazipo.
Tabora AirportLeo ningependa kuwapeleka katika tour ya airports za tanzania kando na JNIA na Abeid karume. 🔨🔨View attachment 2271745View attachment 2271746View attachment 2271747View attachment 2271748View attachment 2271749View attachment 2271750View attachment 2271751View attachment 2271752View attachment 2271753
Leo ningependa kuwapeleka katika tour ya airports za tanzania kando na JNIA na Abeid karume. 🔨🔨View attachment 2271745View attachment 2271746View attachment 2271747View attachment 2271748View attachment 2271749View attachment 2271750View attachment 2271751View attachment 2271752View attachment 2271753
Hongereni wakunya kwa kuwa na barabara zenye lami kama hizo umbali wa km kadhaa kutoka cbdDar kupata barabara ya lami nikama kuona jua usiku.
Just wasted 2min of my life watching crapTabora Airport
Hapo vp?Tupate Tbt kidogo pale brt stand ya jangwani iligeuka water floating houseView attachment 2271830
Hio picha huenda imekuzidi umri.Hapo vp?
The crap that u dream of! Terminal building is U/C!Just wasted 2min of my life watching crap