Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What does that mean?
Sipangwigwi maana yake siongopewi, sawa na mtu aseme sipangiki yani hunipangi means huniongopei, unajua wakenya siku hizi wamekuwa wajinga sana mbele ya watanzania, wamekuwa wakikopi kila kitu from Tanzania kuanzia life style mpk jinsi ya kuongea na misemo yote ya kitanzania wanaiga, alafu wanaenda kusema ni yao.
 
Wapumbavu wale, mambo yao ya siasa wanakuja kutuharibia uzi wetu humu.
Kabisa mkuu. Ndio maana mimi nikiandika jumbe zinazohusiana na uzalendo wanaona kama vile natetea ufisadi wakati naongelea watu kuipenda na kuilinda nchi yao kwa moyo wote pamoja na mapungufu yake.
 
If you have decided to come to hostile country, then you must be ready for any eventuality and stop useless allegations and complains.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wapo wengi mno wanapita pale JNIA pia wanawake wa Kenya wengi wanaenda sn Zanzibar kufanya ukahaba kule, wanawake wa Kenya wengi wanapapatikia wanaume wa kizungu wengi wao wanageuzwa mno nyie mtasikia hili bomu wewe ngoja lilipuke mtaniambia.
 
Hivi huwa ni kwasababu gani? Watu wanapigwa, wanauawa kwa kuzamishwa baharini, wanatumikishwa kingono hadi na wanyama...lakini wapi hawakomi kwenda.

Unajua ni kwanini pamoja na mateso yote hayo bado wanaona hayo maisha ni mazuri kuliko yaliyoko kwenye nchi zao. Kwahiyo hata hawa wa Kaskazini hata tuwatoboe macho hawakomi kuja Tanzania.
 

Nani amekwambia sipangwingwi inamaanisha siongopewi, maana ya hio sheng ni sipangiwi kitu cha kufanya/kusema badala kusema usinipangie tunasema sipangwingwi. Usidakie maneno ya nchi zingine. Alafu ngoma ya Trio Mio ya 'sipangwingwi' ndio ikaifanya ilo neno liwe popular lazy land ukiingia tik tok unaona mapunga ya dar yakiicheza
 
Nilikuwa nasubiri aseme ni wapi ila nikasahau.
Pia na wewe haujui Instanbul? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .., Mombasa town coverage imeuwa Dar town coverage, mwiba hii, Tanzania nchi ya City moja na uchumi hafifuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Istanbul, Turkey (Mombasa City).., town area bigger than Dar town areaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‚

Dunia ya leo haumdanganyi mtu, ama haupotoshi na vi propaganda.., nje ya Dar kupata such magnificent city itawachukua miaka 1000.., hatufanani mjukuu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
nairobians stereotype bongolalas kaa washamba sana.. bongo nyinyi ni washamba.! nairobi urbanlife is say 30yrs ahead of u pipo. hiyo nayo lazma kieleweke.!

View attachment 2268628
Kwahiyo hayo mapicha picha ndio unaona ni ubora mko juu kuliko sisi. Hizi art signs unazikutaga huku kwetu kwenye vijiwe vya wahuni na siyo officially kwa public.
 
Wapo wengi mno wanapita pale JNIA pia wanawake wa Kenya wengi wanaenda sn Zanzibar kufanya ukahaba kule, wanawake wa Kenya wengi wanapapatikia wanaume wa kizungu wengi wao wanageuzwa mno nyie mtasikia hili bomu wewe ngoja lilipuke mtaniambia.
Waga nikiskia zanzibar ikitajwa huwa na kumbuka zile canter buses naanza kucheka
 
Wewe fala sio sipangwingwi ni sipangwigwi yani sipangiki nyie mliichukua na hamkuelewa maana yake, huo msemo tunautumia miaka mingi since 2004 nipo school nautumia huo msemo. Ukisikia mbongo anasema usinipange hamaanishi usinipangie cha kusema bali anamaanisha usiniongopee. Wewe unaongelea TikTok ya juzi wakati msemo upo tangu 2000s.
 
manake naona unapost uchafu bin ushuzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ siku hzi umekuaje budaa au ndio uzee sasa
Umesahau Dar ndio headquarter ya ushuzi Africa nzima, yaani nikama 90% ya jiji, na wenzake ni Lagos na Kinshasa, Mombasa wachana nayo kabisaa, sio mwenzenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongolala, stop being desperate. Why didn't you zoom the same pic I posted? Mbona ukachagua picha nyingine? To help lick your wounds?

Listen, Nairobi has slums but in very specific areas like you saw in that Kibera picture I shared. Areas surrounding those slums are well kept and organized, which is a sharp contrast to Dar where Uswazi hovels are almost everywhere you look. Your city is ugly and disgusting coz there's no form of organization/planning.

Lastly, the images you are sweating so much to zoom in are still way worse than most of the areas you occasionally post here as slums.

These are zoomed in images of Githurai which you usually call a slum



And this is Mburahati middle-class area that you zoomed in

Githurai is clearly well planned with straight roads which are clearly visible na nyumba pia ziko kwa laini moja. Is this the same case with Mburahati? Ni wapi uliona slum ambayo imepangwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…