Hata ile ship building facility ya Kisumu ipo much better than ya hawa malazy.Hamna any ship building facility, munafanya kazi kwa vibanda. 🤣 🤣 🤣 nionyeshe ship building facility kama hii nifunge account. wacha kubweka bweka kama mbwa.
Kabisa, hadi hio ya kisumu washaanza kuitengenezea roof. Hawa wanaingiza meli kwa maji na rollers jua kali style. 🤣 🤣 🤣Hata ile ship building facility ya Kisumu ipo much better than ya hawa malazy.
hebu onyesha winch Kisumu port!Kabisa, hadi hio ya kisumu washaanza kuitengenezea roof. Hawa wanaingiza meli kwa maji na rollers jua kali style. 🤣 🤣 🤣
Unapost video ya shipyard ikiwa under construction 🤣 🤣 🤣hebu onyesha winch Kisumu port!
With this admission how can they have constant power supply? Mitambo zao zote zimechoka!Kwa hivyo wewe hujui tofauti kati ya scheduled maintenance na power blackout? Hata Marekani na Europe huwa kuna scheduled maintenance. Nyaya za umeme lazima ziwe maintained na vikingi vya umeme pia. Hii sio blackout kwa maana mnaambiwa wazi mapema sana kwamba siku fulani umeme utazimwa kwa masaa fulani. Black out kama yenu huko Tanzania unakuta umeme unapotea wenyewe. Tatizo la umeme kupotea wenyewe bila kuzimwa na Tanesco ndio inaitwa blackout. Kuna tofauti mkubwa kati ya umeme kuzimwa na umeme kupotea wenyewe.
Westlands ukitoa ghorofa tatu za mchina hamna kitu, kwanza kuna road moja pekee, usipake make up weka kitu on ground kama hivi [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio ile mnalinganishanga na Westlands [emoji23]
View attachment 2266860
Vs
View attachment 2266861
Mitambo zao ni nzee halafu hazijakuwa upgraded for decades. Minister wao wa energy aliongea siku ingine kwa parliament akakiri kwamba electricity infrastructure ya Tanzania imeoza sana. Huyo minister kipara jina yake nimesahau but alikuwa anagonga point venye power grid yao ni useless.With this admission how can they have constant power supply? Mitambo zao zote zimechoka! View attachment 2266890
Still hamna slipway with a winch to pull a ship cradle!Unapost video ya shipyard ikiwa under construction 🤣 🤣 🤣
Mkutano serious while mwehu anaesababusha vurugu zote huko congo amongst wa wahudhuriaji,hapo ni kupoteza muda tu hamna la maanaAlafu nyinyi mnatuma ka-ambassador eti arepresent rais wenu kwenye meeting serious kama hii. Huwa mpo serious na EAC kweli? Nini ngumu kumtuma hata waziri mkuu au naibu wa rais kama rais ameshikika?
Kutokwenda pale ni kama imeonyesha atupendi unafikiMi to be honest nimefurah samia kutokwenda maana ni unafiki tu utaendelea pale...
Wewe fala kweli,TPDF anayajua mapori ya congo kwa kutembeza kichapo vizuri sana,hilo jeshi lenu limeongeza wezi tu huko,wanajeshi wenu watauana sana huko huko sababu ya madini maana mna jeshi bovu lisilo na nidhamu na ndio maana wakaiba hadi biscuit pale westgate na kuuza mkaa somaliaSasa ni rasmi majeshi ya EAC yanatumwa DRC. Tutafinya hao rebels wa DRC ile mbaya. Malazy kama kawaida yao ni cowards na naona kama watasusia kutuma majeshi.
nimeomba list ya meli zilizoundwa! Najua hamna kampuni inashinda Songoro marine!Kando na SECO Kuna another ship building company called african marine & general engineering co ltd.
View attachment 2266935View attachment 2266937
View attachment 2266939View attachment 2266941