Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miji zao mingi hukaa vumbi tu, they dont come close to kenyan towns wacompare na za uganda
Mzee kubali kwenye planning mpo hovyo, nchi yenu imeoza na slums kila pembe na hamna la kufanya

Hii ni Kilwa lakini ipo well surveyed kuliko hata Mombasa

Kwenye suala la makazi hamna ubavu wa kutunishiana misuli na Tanzania, level yenu Burundi

 
Did I hear huge? Tofauti na hapa kuna kipoison? 😅😅😅😅

Babati ni kubwa kuliko Kisumu

 
Eti planning tupo hovyo? Did you forget that Dar is the most unplanned city this side of the Sahara and is your chief city? Kama Dar ndio hakuna planning sasa unataka kutuambia hicho kijiji ndio kuna planning?
 
Bongolala, tushakuambia hii Tabora haitoboi hata mbele ya Thika hadi picha ukaletewa hapa sasa mbona unasisitiza mambo? Kama Mwanza ndio haiingii ndani ya Mombasa sasa hicho kijiji cha Tabora ndio nini?
Mananiletea pictures za a millennium ago 😅😅😅😅 leteni mambo ya Google earth 😂😂😂 mkitoka Nairobi mnaiogopa Google earth kama kisonono
 
Eti planning tupo hovyo? Did you forget that Dar is the most unplanned city this side of the Sahara and is your chief city? Kama Dar ndio hakuna planning sasa unataka kutuambia hicho kijiji ndio kuna planning?
Nioneshe slum moja Tabora nikuoneshe slums 200 Mombasa 😂😂😂
 
Hawa hawajaachana sana na jeshi dhaifu la kenya failed state, tofauti ni ndogo tu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Walimuua Mamadou ndala wenyewe jamaa alikua shujaa sana sio kamanda muoga muoga , wakongoman wanapata shida sana na hao M23
 
Geza Ulole university ambayo mimi nilisomea ipo Kisumu county. Mimi Kisumu naijua vizuri. Hiyo picha ambayo dyfre amepost ni ya Kisumu.
 
Kenya airways wamesign makubaliano na Delta airlines in a codeshare agreement.
The new agreement increases customers' travel options to 19 cities in Africa and 25 cities across the U.S. and Canada.
Hii partnership ya KQ na Delta inazidi kuwa tamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…