Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio flight ya wakimbizi imekuwa revoked na European Court of Human Rights (ECHR). Huu mradi wa kusafirisha wakimbizi hadi Rwanda unapingwa vikali na NGOs na lawyers huko UK.
 
hii tecnic sasa ndiyo watu wataielewa vizuri mbali ya kuiweka mbuga sawa kwa kutoa matumizi ya kibinadamu yanayozidi kadri miaka inavyoenda ..

pia kuna target kubwa ya kulimit manyang'au ili mbeleni wakijichanganya na kupata kichapo punde wanapovamia ardhi ya Tz wakose cha kulalamika kwani masai wetu wote wa upande wa Tz watakuwa wameshatoka..

[emoji23][emoji23][emoji23]#HII INAITWA AKILI MIPANGO
 
such crazy projects tht are out of this world can only be traced in kenyaland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…