Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa kwani sio slums? 😂😂😂

Eti sisi sio wenzao 🤣
Anaetaka kua mwenzenu kwenye slums ni nani?
Pipeline ya 2022 vs hii 👇 👇 takataka 90% poverty look in 2022!!😂😂😂😂., hatuwezi fanana kilaza..., hamuoni aibu kulazimisha fikra zenu., rudini mashambani mpande mahindi mtuuzie mpunguze ufukara na ushamba mlio jaza mjini, alafu, it's like over 60% ya Dar roads are not tarmacked😂😂😂😂😂😂😂.., niko free mtanzania ajitokeze kunidanganya..,

Vumbi city and ushamba in 2022😂😂😂😂😂





Ukilinganisha, yaani ni wazi Pipeline estate kwa mtanzania itakua ni downtown.., 🔥🔥😂😂😂








 
So hapa co ka Nairobi [emoji116][emoji116]
 
Pipeline 🤮

Onyesha kote kote sio vijisehemu kujiliwaza, wekaq yote mazuri na mabaya tulinganishe., Na Dar je? na hizi ndizo standards kwa urefu na upana wa jiji 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Wacha kukwepa na kapicha kamoja kazamani., sio wewe uli post hii? 👇 👇 👇 👇 google ni ya wasomi semi illitrate soja., hautumii tu kimandanzi😂😂😂😂😂😂😂😂., kuna google earth na youtube 2022 clips, mbona umekua muoga?😂😂😂


Nairobi old CBD kote kote downtown na upptown.., June 2022 hakuna kuficha., wenye wivu wajinyonge.,
Downtown..,

Uptown Nairobi CBD
 
Pipeline imeumiza watu sana, sasa kama hampendi mazingira machafu si mmbomoe? Au mui bomb hiyo area kuliko kulia lia na kufosi tufanane na mauchafu yenu.
Shughuli ipo kwenye fidia na ujenzi. Wanaogopa gharama wanaona bora liende tu hivyo hivyo.
 
Kuna jengo moja hapo juu lina matofali ya tope kuna siku litashuka na kuleta maafa. Kwanini viongozi wa Kenya huwa hawabadiliki na kuchukua hatua tofauti na TZ? Hapa hatuongelei battle,maisha ya watu yapo hatarini, kutatokea maafa makubwa mno kama hatua stahiki hazitachukuliwa.
 
Kenya kila siku mamia ya wananchi wanakufa kwa kuporomokewa na majengo yaliyojengwa na engineers waliopata elimu duni ya Kenya.
 
Pipeline imeumiza watu sana, sasa kama hampendi mazingira machafu si mmbomoe? Au mui bomb hiyo area kuliko kulia lia na kufosi tufanane na mauchafu yenu.
Wacha tubaki na uchafu wetu kuliko huu ushamba in 2022 bana😂😂😂😂😂😂., dhihirisho hamna hela ya kujenga flats/apartments😂😂😂😂..,


 
Hawako serious na maisha ya watu. Mlipuko wa ugonjwa ukitokea hapo ni hatari. Jiji kazi yake ni nini, wanaachaje uchafu utapakae namna hii, au kampuni za usafi ni za familia za watawala ( Untouchable).
Kenya nzima ni chafu mkuu, slums kila mahali mpk ikulu na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa, wacha wafe wapungue wapo wengi mno alafu kanchi kenyewe kadogo, just imagine Wakenya wapo over 55mil (takwimu za zamani) kwa kanchi ambako ni mara mbili ya Tz while watanzania tupo only 60mil.
 
Hizi zina muda mfupi sana hutaziona tena ,serikali inakuja na mpango kabambe kuipanga upya dar na kuboresha makazi, achana na DMDP.Kuwa na utulivu sisi siyo watu wa maneno maneno bro tunapiga kazi sasa hivi usiku na mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…