Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23] kumbe jpm alichoma vifaranga ni mbaya na muovu zaidi ya sa100 anaye chinja binadamu hata kama wanatoka kenya
 
Hao Maasai wanaoleta vujo huko Loliondo wanatoka Narok county, Kenya. Sasa kwa wtz wenye upeo mdogo wanafikiri hao ni wenzetu. Nachohisi,huu mgogoro utachukua mda mrefu Sana.
Kataeni wamaasai wenu kabisa. Ata mngesema maasai sio kabila la Tanzania lakini ukweli haufichiki. Ngorongoro ni shamba la wamaasai kihistoria.

 
kuna hii page ya mkenya inadanganya huko youtube kuhusu loliondo
 
Kwahiyo serikali ya Tanzania inapoingilia Kati kuwasaidia waganyabiashara wa Tanzania wanaosumbuliwa kule Namanga, huwa wanawatetea wakenya?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
What do you think , ama unadhani mnaletanga bidhaa kenya ndio mnatafuta soko, any tanzanian truck coming to kenya already has been paid for,
 
Wamaasai wa Tanzania wanatolewa hifadhini wanaumia Wakenya……ajabu sana hii[emoji28][emoji28]
Hii issue ya loliondo kiukweli sio nzuri ila ina ufadhali mkubwa sana maana jamaa wamepewa sehemu nyingine za makazi,na hata humu watu wamereact kwa kila aonavyo yeye,kidini,kikabila na mbali zaidi hata kenya nayo eti imereact,mimi naamini wanayopitia hawa wa loliondo haijafikia ile ya ubungo pale tanesco,watu walivunjiwa na hawakupewa hata sumni,kuna jamaa pale walikua na eneo ndani yake kuna nyumba 6,zote zilivunjwa na hawakupata pesa,mzee wao alikufa kwa stress,mbezi mwisho kupisha barabara ya njia 8 watu wamelizwa,architec beda amur aliyechora ramani ya soko la kariakoo nyumba yake alikua na nyumba pale stendi ya magufuli,ilivunjwa na akupewa hata sent pa1 na heshima yake yote,yule mzee alikufa kwa stress,twende mbele na kurudi nyuma hamna aliye mkamilifu tena hasa kwa hawa wanasiasa wetu
 
Malaika anajulikana ila utashambuliwa humu ndani! Unafikiri leo angekuwepo hai hawa watu wa Ngorongoro na Loliondo wangepewa fidia na ardhi mbadala?
 
Kataeni wamaasai wenu kabisa. Ata mngesema maasai sio kabila la Tanzania lakini ukweli haufichiki. Ngorongoro ni shamba la wamaasai kihistoria.

Ngorongoro si shamba ya masai ni protected area chini ya usimamizi wa GoT hata kabla ya Uhuru! Kama Ngorongoro ni shamba ya Masai, je Nairobi ni shamba ya nani?
 
Hapo kuna kitu hakiko sawa Senetor mara aseme hao watu ni Watanzania mara aseme ni wakenya he even had an audacity to say to our president to stop evicting kenyans from their land. Tangu lini ngorongoro ikawa sehemu ya Kenya? Something is not right here.


Senator Ledama Olekina Issues A Stern Warning To Tanzanian President Mama Suluhu After She Did This

News Hub Creator

Jun 12, 2022 7:21 AM

Narok county senator Ledama Olekina has come out to criticize the Tanzanian President Mama Samia Suluhu after her latest remarks about the ongoing clashes between the Tanzanian and Kenyan Maasai community around the border. In the ongoing war, Kenyan Maasai people are being evicted from Tanzania with claims that it is not their home.

Taking to his social media pages, Ledama said that the people who were shot in the wrangles were from Tanzania and not Kenya. Earlier on, Samia Suluhu had said that the people who had been shot were from Kenya. The senator asked the Tanzanian President to stop lying alleging that she was chasing away the Kenyan people so that she can sell their land.
"Stop your lies @SuluhuSamia those who were shot and injured were not Kenyans but Tanzanians Maasai #Ngorongoro #Maasai #StopMaasaiEviction #maasaiintanzania selling our people’s land to Arabs to be used as a hunting ground for wild animals is evil!," Ledama said.

In another tweet, Ledama said that the ongoing clashes in Tanzania re similar to what is happening in Ukraine. People are being evicted from their ancestral homes for no reason.

"The forceful eviction of our people the Maasai from their ancestral land in Tanzania is similar to what is happening in Ukraine. The world must condemn this with the strongest words possible and charge president @SuluhuSamia with genocide … @UN @usembassytz @CNBC
 
Kwahiyo serikali ya Tanzania inapoingilia Kati kuwasaidia waganyabiashara wa Tanzania wanaosumbuliwa kule Namanga, huwa wanawatetea wakenya?[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni mchanganyiko. Kuna Wakenya wengi wanakuja TZ kununua bidhaa na kuzileta Kenya. Na pia kuna Watanzania wengi wanatoa bidhaa TZ na kuzileta Kenya.
 
Usicheze na Kenya. Tutawa-expose kwa dunia nzima kwa ukatili wenu. Lazima mpigwe sanctions na Marekani na EU.
Cc coodip1
Thubutu hakuna beberu yoyote mwenyewe uwezo wa kuitishia Tanzania wanatujua vizuri sana walishajaribu huko nyuma tukawatoa nduki they know our stance when it comes to international relations. Hence engagement yao na Tanzania inakuwa na adabu sio kana nyie mnapigwa mkwara mmoja mnanywea tumeona kuhusu kauli ya Ukraine war na pia tumeona kuhusi kununua ngano illegal ngano ftom Russia.
 
Usichokijua ni kwamba Wamaasai ni kitu kimoja. Usitegemee mama yenu apige Wamaasai wa Tanzania na Wamaasai wa Kenya wanyamaze.
 
Wewe ni mshamba sana siwezi ku argue na wewe na nina mashaka sana kuhusu umri na elimu yako.
 
Usichokijua ni kwamba Wamaasai ni kitu kimoja. Usitegemee mama yenu apige Wamaasai wa Tanzania na Wamasai wa Kenya wanyamaze.
Tangu lini hili? Vp Masai wanne waliouwawa jana kwenye maandamano huko Kajiado; je Masai wa Tanzania wamelalamika? Najua ndo mnachotaka kuleta instability in the whole of Ngorongoro, Loliondo and the Serengeti!
 
Now you agree kwamba kule France wale activists ni wakenya na walikuwa organized na Kenya sio mbona hapo mwanzo mlikataa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…