Wewe huwa mpuuzi sana wakati mwingine. Unapenda kubadilisha topic lakini leo sina mood ya mchezo. Mimi ninazungumzia mapato pekee. Sizungumzii mambo ya economic benefits. Obviously mining sector ina economic benefits nyingi lakini mimi ninazungumzia mapato ya mining sector yenu. Hata sizungumzii kuhusu investments katika mining sector yenu. So punguza kiherehere. Usiniletee hizo video za investments mimi ninazungumzia mapato. Mbona wenzako wameelewa na wamenyamaza, wewe ndio unakazana hapa.Huwezi kulinganisha economic benefits zitokanazo na mining na remittance, kama Tanzania government imepata revenues ya $3.5b ujue money circulation ni zaidi ya hiyo pesa.
Just step down from the heels of stupidity!You haven't proved anything not even once.
Kazi nzuri. Switch yard naona ipo karibu kukamilika.Switchyard mambo motooo [emoji378][emoji378]huko Nyerere hidro power
yani tunaitawala tanganyika kwa namna yoyote ile.. from whichever angle tunaikeketa 🤣🤣Remittance ya Kenya ni $3.7 billion. Remittance ya Kenya imeshinda gold revenue yenu ya $3.5 billion. Epuka kuropoka bila kutazama facts kwanza.
Cc tuusan
Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..Weka hapa EuroWings zikileta watalii miaka ya nyuma badala ya kujisemesha tuu bila ushahidi.
Tukuamini wewe au boss wa EuroWings/Lufsantha? .Kazi nzuri ya Royal tour,acha wivu wa ******* [emoji116]
You have failed to convince me sasa umeanza matusi.Just step down from the heels of stupidity!
If you allow your stupidity to accord you a little break, trust me, you will be able to perceive things that were once impossible.
Tutaona ..Edelweiss ilikuwa hivyo hivyo sa hizi inakuja ? ...Mimi siombei mabaya Tanzania..but we will see if they maintain the schedule to 2x weekly..Wamejitahidi ku maintain mombasaa via ZanzibarJapokuwa haziji kwa sababu ya Royal tour, Eurowings sio seasonal but will be all year round flights starting with weekly 2 flights! Epuka uropokaji!
Wewe Mlazy hakuna kitu kama Lufsantha ni Lufthansa.Weka hapa EuroWings zikileta watalii miaka ya nyuma badala ya kujisemesha tuu bila ushahidi.
Tukuamini wewe au boss wa EuroWings/Lufsantha? .Kazi nzuri ya Royal tour,acha wivu wa ******* 👇
Typing error haijazuia kupata ujumbe ndio maana umesahihishaWewe Mlazy hakuna kitu kama Lufsantha ni Lufthansa.
Wacha upumbavu, Edelweiss for the whole of June is full booked aside 10 additional flights for July and August!Tutaona ..Edelweiss ilikuwa hivyo hivyo sa hizi inakuja ? ...Mimi siombei mabaya Tanzania..but we will see if they maintain the schedule to 2x weekly..Wamejitahidi ku maintain mombasaa via Zanzibar
Hutonijibu kitu na umejibu 😂😂.Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
Kama abiria wakiwepo kwa nini ishindwe ku mantain hiyo route?Tutaona ..Edelweiss ilikuwa hivyo hivyo sa hizi inakuja ? ...Mimi siombei mabaya Tanzania..but we will see if they maintain the schedule to 2x weekly..Wamejitahidi ku maintain mombasaa via Zanzibar
Eurowings ni new airline imekuwa launched mwaka jana! February hii nimepanda Edelweiss mpaka Zanzibar toka Zürich hata kama ni leisure aircraft booking haizuiwi kwa yeyote! Acha kupotosha!Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
Usichanganye madesa ndugu! Condor peke yake ndio seasonal flight! Make the use of Internet to know the nitty gritty! Na uache kasumba ya Mombasa ambayo imejifia mbele ya Zanzibar na Kilimanjaro!Sitakujibu kitu...Unaijua Condor airlines , Euro wings na Edelweiss huwa zina operate mostly kama leisure airlines..
Nadhan ni majani ya mabogaSukuma, Hii mboga inaonekana muhimu sana kaskazini. Inatajwa sana . Huku kwetu labda inaitwa Jina lingine?
Edelweiss inakuja sasa hivi au haiji..?Usichanganye madesa ndugu! Condor peke yake ndio seasonal flight! Make the use of Internet to know the nitty gritty! Na uache kasumba ya Mombasa ambayo imejifia mbele ya Zanzibar na Kilimanjaro!
Dream holidays on Zanzibar, Tanzania | Edelweiss
White, long sandy beaches and a lot of relaxation. Here you will find tips on how your bathing holidays become a dream in the African holiday destination Ziel.www.flyedelweiss.com
Unforgettable Holidays in Kilimanjaro, Tanzania | Edelweiss
Infinite steppe landscapes, numerous national parks and an incredible wealth of animals: many adventures await you around the Kilimanjaro.www.flyedelweiss.com