Sasa hii wivu yenu itawasaidia na nini? Kwamba Wabongo hamtaki kukubali kwamba Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads licha ya rais wa Kenya kuitaja mara kadhaa jana mbele ya dunia? Sasa rais atatoa wapi ujasiri wa kudanganya dunia?Tony254 naomba ufafanuzi tasavali ππππ
Ujasiri wa kujenga kilometers 8000 kwa miaka mitatu mnautoa wapi? π€£π€£π€£π€£
Kunyata kweli kawa weka kwapani, hata akili ya kujiuliza hizo paved roads kwa grounds ziko wapi hamna! ππππ
View attachment 2247785
Wacha wazimu leta data za KRAHawa vilaza hawajafika hata nusu yetu. But as usual, they'll dispute
View attachment 2247705
Iyo ndio data ya KRA?
Kawaingilia kimombasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umewat..o..mbaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unapoteza bundles bure kufukua haya mambo. Naona unaumwa sana na habari hii iliyotolewa na Uhuru jana.This is at least realistic compared to the world bank data
π Astonishing is the same government popping up all these unmatchable statistics within hours of interval differences π
View attachment 2247791View attachment 2247793
Hawa jamaa ni wazimu snaaaSources: Statista vs TRA (wasajili wa magari TZ). Polen na maumivu [emoji38]
Kama aliiongopea dunia hapa atashindwaje kuendelea kuiongopea [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]Sasa hii wivu yenu itawasaidia na nini? Kwamba Wabongo hamtaki kukubali kwamba Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads licha ya rais wa Kenya kuitaja mara kadhaa jana mbele ya dunia? Sasa rais atatoa wapi ujasiri wa kudanganya dunia?
Leta ya KRAHebu leta hiyo ripoti ta TRA tuisome? Link, not that one-line screenshot you pasted here yesterday
Wacha ujinga. Leta evidence kwamba Uhuru ametumia ksh 300 billion kwa barabara in 9 years.Tony254 ndio maana nikakuambia nataka data from treasury, data zinaonesha pesa za ujenzi wa barabara 2020 kwenye kipindi cha uhuru zimefika billion 300, wakati uhuru anasema kajenga kilometers 10000 roughly at the lowest estimated price ni 1 trillion
Sasa ulitaka watu wapite ndani ya bahari hapo Mombasa mzee? kwa vile hiyo njia inakutoa Mombasa Island na pia kando yake ni godowns na mali za watu, na kuna sehemu bahari iko, hiyo njia ya pwani ilikua sasa inapanuliwa na kukarabatiwa upwa, traffic lazima, kama vile Thika road ilijengwa, na bypasses etc.., magari yanatengenezewa nafasi kando ujenzi ukiendelea, kisha sehemu inayokamilika kiasi wanaruhusiwa kupitia kupunguza foleni, ni kawaida sana duniani unless it is a totally new road not an upgrade, ama kuna alternative routes ya traffic basi litafungwa kabisa, pengine wewe ni mshamba tu, hauna exposure.Daima Tz hatuwezi kutumia kitu ambacho hakijaisha, sisi huwa tunasubiri iishe zen ndio tutumie, Kenya is the only country in the world that has been using unfinished projects kama unavyoona hapa chini [emoji116][emoji116]View attachment 2247821View attachment 2247823View attachment 2247824View attachment 2247825
Kutamka kila mtu anaweza jitamkia figure yoyote inayokuja mdomoni mfano naweza sema GDP ya Tanzania ni 250bn au mfano Magufuli alisema Tanzania ni donor country sasa maneno lazima yathibitishwe na uhalisia ndio mtu aweze kuamini sasa unawezaje kututaka tuamini words ambazo hazina backup lazima kuwe na verifiable evidence.Sasa hii wivu yenu itawasaidia na nini? Kwamba Wabongo hamtaki kukubali kwamba Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads licha ya rais wa Kenya kuitaja mara kadhaa jana mbele ya dunia? Sasa rais atatoa wapi ujasiri wa kudanganya dunia?
Uku unapinga uku unasupport . Swali unamini kunyata amejenga 10000 km in 9 yrs?I remember reading this propaganda sometime back, huwezi kuficha ama kudanganya mtu upande wa barabara, yani kile kinacho onekana, u can't easily lie to Kenyans, sisi sio watanzania the reason this propaganda didn't trend in Kenya. Kenya Bureau of Statistics (KNBS) did their research and came up with the total number of paved roads in Kenya. Maybe Kenyatta achukue credit kwa zile za Kibaki alizo acha zikiendelea aseme ni yeye alifanya, but paved roads Kenya has over 20,000 kwa sasa, najua inawaumiza lakini ukweli ni huo, zoea.
Absolutely, haudanganyi mtu dunia ya leo, zinaonekana, ila zingine sio zake zilikua za Kibaki aliacha zikiendelea, kama from Kisumu, Kakamega up to Turkana( South Sudan border) na jua hiyo hesabu amejumuisha kwa yake na zingine pia.., hapo ndio naeza sema uongo wake upo lakini sio km zilizo kamilika..,Uku unapinga uku unasupport . Swali unamini kunyata amejenga 10000 km in 9 yrs?