Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya na Tanzania tuko kwenye vita bits kiuchumi wala hakuna jingine. ...

Jambo linaloendelea kwa sasa ni kihakikisha Kenya kwa namna yoyote hatufaidi pekee bila na yeye sisi kumfaidi ndio maana unaona ili fukuto...

Kuhusu mahusiano wala haiwezi kuja kutokea tukawa na matatizo makubwa hapana...sema tu ni mambo ya kawaida

Uliuliza kwa nn tunawapenda sana south Africa Ilo ni swali zuri ,kuna mahusiano yamuda mrefu kuhusu mambo ya uhuru na maswala kadhaa ya namna iyo utagundua hayo kama Ni mfuatiliaji mzuri..

Dar ilikua nyuma miaka ya nyuma apo labda tuzungumzie 2000 Rudi nyuma Ila kwa sasa Dar imeamka na ni mji unaokua kwa kasi sana...tungeendelea kulala nadhani hata mombasa ingetupita kwa mbali kabisa lakini tumeamka na tunatunisha misuli sawasawa...

No kwel nairobi pako na mpangilio mzuri na barabara sihaba mmejitutumua lakini kwa yanayoendelea Dar kwa sasa hatuna uoga wa kukaa meza moja na kuweka battle kama hii. ..tunajiamini na yanayoendelea kwa sasa!!

Past has gone look at what is going on right now!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania na Kenya wanaunganishwa na mambo kama manne, 1)Ujirani 2)Lugha ya Kiswahili, 3)Makabila ya mipakani.

Tanzania na nchi za kusini mwa Africa ikiwemo Africa ya kusini wanahusiana na mambo yote hapo juu ukiondoa Lugha ya kiswahili, zaidi ya hayo mambo yaliyotajwa hapo juu nchi za SADC zinauhusiano wa kiitikadi na mahusiano wa damu, nchi hizi zilipigana bega kwa bega kwa bega, wanasikilizana zaidi miongoni mwao, hakuna mivutano wala mashindano miongoni mwa nchi za SADC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna mpuuzi mmoja mkenya amehoji issue ya kijinga ni kwanini tumeelekeza sana focus yetu SA kiasi kwamba hata wanamuziki wetu wa bongofleva wanaenda ku-shoot video zao huko.

ni bahati mbaya sana,lengo la thread hii si kujikita kueleza mahusiano ya kihistoria kati ya tz na nchi nyingine za afrika,vinginevyo tungejaza kurasa kulielezea hilo.

kwa kumuelimisha tu yule mpuuzi mkenya,ni kwamba tanzania ilitumika kuhifadhi wapigania uhuru wa nchi mbalimbali za kusini mwa afrika,ikiwemo south africa.

historia inasema,hata mzee nelson mandela,katika wakati fulani wa vuguvugu la kupigania uhuru wa SA na kuiondoa katika mikono ya makuburu,aliwahi kuishi tanzania eneo la Moshi mkoa wa kilimanjaro, akitumia passport ya tanzania kwa jina bandia la kitanzania.

kiufupi tu ni kwamba ukaribu au urafiki wa watz na wa-SA umejengwa katika misingi ya historia ya wazee wetu walioshiriki katika harakati za kupigania uhuru.

ukaribu huo au urafiki huo,umekuwa ukiendelea hivo toka kizazi mpaka kizazi ndio maana ni rahisi sana kwa mtz kwenda kufanya shughuli zake SA kuliko kwenda kufanya shughuli zake Kenya japo ni nchi jirani na tz kwa upande wa kasikazini-mashariki.
 
sio kwa povu hilo ndugu
😀😀😀
 
sio kwa povu hilo ndugu
😀😀😀
kisu cha ngariba hakiwezi kumuacha mkenya salama,kinapomuingia mahala pake lazima apige yowe ili kila mtu ajuwe kuwa sasa mkenya anashugulikiwa na mtanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngariba amekukata wewe na kisu chake. umekuja full mipovu na mihemko... duh! chunga usije ukapata blood pressure 😀
 
sasa utashinda ukijirudia???
heri ata ungepost nyumba za dar is slum zenye zi upatikana remote areas in Kenya 😀
 
lamba Afrika Kusini matako Kabisa. mpaka mdomo ijae ma.vi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…