Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtwara hadi kagera Ni lami tu Dar hadi rukwa lami tu izo ni distance zaidi ya km 1400 kwa kila route. ...wanjala anatuonyesha barabara moja tu

Sent using Jamii Forums mobile app
wakiona vitu vizuri kama hivi,huwa wanabaki kuduwaa kwa kupigwa na butwaa wasiamini kuwa hii ndio tz ya sasa sio ile ya 90s.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
your on the wrong place,hapa hakuna mambo ya kujadili na huu ni mpambano ambao ulianza kitambo na hakuna dariri zozote ambazo zinaonyesha yakua utaisha hivi karibu, so sioni kama unauwezo wa kuvumilia huu mpambano
 
amazing view of tarmacked road that connect tanzania from south,north,west to the eastern part of the country.

Inferiority complex, who said Dar hamna Barabara?

Mnajua mambo ya Barabara hatuwezi anza kulinganisha hapa, maana Kenya ina mara nne ya za Tanzania nzima
 
Inferiority complex, who said Dar hamna Barabara?

Mnajua mambo ya Barabara hatuwezi anza kulinganisha hapa, maana Kenya ina mara nne ya za Tanzania nzima
Barabara zinazinduliwa uku kila baada ya mwaka at kabla mwaka kuisha juzi apa raisi kazindua zaidi ya km 900 vipande tofauti tofauti na engineers wako wanaendelea kupiga mzigo zaidi ya km 2000 zinapigwa lami iyo Ni mikoa iliobaki kuungwa kwa lami2na baadhi ya wilaya muhimu....[HASHTAG]#inabadilkka[/HASHTAG] kila siku...kama ulikua na data za mwaka jana unapotea

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Avic international Africa headquarters
working round the clock

__________________
 
40 floor,36 floor ,19 floor Montave Towers,neighbouring the 70 floor pinnacle,now on full swing excavation









__________________ __________________






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…