Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I asked him the same question. I was wondering what the heck that could be [emoji23]
I might be playing a guitar to the goats here. Hamuwezi elewa hivyo vitu ni vya hali ya juu sana na siwezi kupoteza muda kuwaelimisha tafuteni wenyewe google si your friend?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Say "I'm a fool"
 
You still mentioning Bagamoyo port?! 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hii ndio inaitwa kuwa na imani!
 
bongolala, please tell us how you've modernised your airplanes? Do they fly without pilots? Don't they rely on airport radar while on air? Don't they use jet fuel? Or what exactly have you modernized?
We have introduced new planes to the fleet , improved booking systems, new structure ya kampuni hiyo yote ni modernization unlike what we had in the past. Au hii sio modernization according to you? Mpaka unaita hii ni expansion?

Kama ni expansion elezea acquisition ya new planes , improved booking system na reorganisation ya shirika katika terms zako za expansion.

Halafu kama umenielewa vizuri nimesema modernization ya airline sasa wewe unaongea kuhusu modernization ya planes wapi na wapi na mashaka na elimu yenu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Achana na muuza dagaa wa kisumu wenyewe wanajifanyaga wanajua kuongea kingereza wakati ndani hata chumvi hana
 
All these things you've mentioned here while are commendable, can only be summarized in these simple words: you are playing catch-up game. KQ has had all these things all this time. Will all that investment, your airline still operates few routes

I was waiting for you to mention to me how that "mordernisation" has put your airline a cut above the rest KQ included but sijaona kitu
 
bongolala, please tell us how you've modernised your airplanes? Do they fly without pilots? Don't they rely on airport radar while on air? Don't they use jet fuel? Or what exactly have you modernized?
Acha kuonesha upumbavu wako kuna mahali popote nimesema modernization ya airplane? I used the word airline. Hii elimu yenu inatia shaka sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cheki mdanganyika, You cannot tell me what I can say or not say hapa jf.
Magufuli was stupid according to me. You don't have to subscribe to that. Kama alikua mungu kwako well and good.
Nafurahi kwamba ujumbe umekufikia si kwa kulipuka huko. Nakuona jinsi kifua kilivyokujaa hewa ya ukaa maana tumboni hakuna kitu....njaa mbaya sana.
 
As usual goal shifting [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…