Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ya wakenya ni wivu tu wa maendeleo,hili la malori ni mwanzo wa upuuzi wao yapo makubaliano mengine watakuja kuyavunja wenyewe.

Nyang'au kwenye suala la maslahi huwa wanaweka utu, ubinadamu,ujirani mwema, urafiki na makubaliano pembeni, wepesi sana wa kusahau fadhila wanazotendewa.

Wanaharibu uhusiano mzuri na wa muda mrefu ili watatue tatizo la muda mfupi.

Huu ni mwanzo wa choko choko zao tutegemee mengine mengi ya namna hii.
 
Kwa kelele mnazopiga halafu railnetwork yenyewe ni less than a half of Tanzania's! I pitty u people!!
Kenya's railway output is bigger that that of Tz, it's actually a shame that you tell us it's more that double in size 🤣🤣 now that's a perfect white elephant example
 
Kama uko Nairobi na wewe ni mtu muungwana, tafadhali ukiomyesha wenzenu mabaya pia waonyeshe mazuri kwa kiwango sawa, usiende tu mahala pazuri ukajienjoy na kupiga selfie ila JF watuonyesha tu mabaya, uchoyo acha mkuu😅
 
I also once said this ..nikauliza kwann Burundi na Rwanda hawataki ku share reli kwani shida ni ipi..pia itakuwa less costful kwa Tz
Ninahisi kwasababu ya usalama hawaaminiani. Anayeaminika zaidi kwenye mikataba ni Tanzania. Hata Ug hawezi kumuamini Rwanda moja kwa moja.
 
Ebu tuonyeshe fire station hapo Dar is slum
You expect too much from a Tanzanian, uyo boiz ni ka ako Nai, anapitia thika rd akijibamba alafu akifika pale safari park place brt ime-stall kiasi hapo ndo anafikiria kutoa simu apige picha...so it's either ako na roho chafu kama oil aa haezi afford fancy places 😅
 
Kama uko Nairobi na wewe ni mtu muungwana, tafadhali ukiomyesha wenzenu mabaya pia waonyeshe mazuri kwa kiwango sawa, usiende tu mahala pazuri ukajienjoy na kupiga selfie ila JF watuonyesha tu mabaya, uchoyo acha mkuu😅
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kweli kabisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…