Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na hapo inaongelewa Quality ya language yake[emoji1787].
Ila wakenya Wana matatizo hawajui kiingereza vizuri nor kiswahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, bora na sie tunachokiswahili tunajua fluently na kinge cha kujifunza.. sisi ni bilingual society, wao wanaeza sema ni akina nani.? Becz them neither speak good English nor Swahili .. they ar not competent in both languages πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Yaani hadi Rais wa baadae wa Kenya hajui Kiswahili...anasoma kwenye simu. [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Utakuta anaongea Gikuyu na Kiingereza tu!
hakuna kikuyu huyu anajua, ni kingereza tu.!
hapa kenya hawa ndo waitwagwa watoto wa masos ama masonko, na wataishi maeneo kamavile, lavington, kileleshwa, kitisuru, loresho, runda, muthaiga, karen etc.. πŸ€“πŸ€“ 😎na watasomea mashule kama; Braeburn, Hillcrest, Banda School, Strathmore, Rosslyn Academy. etc. GCSE ndo itakua curriculum... na watashobokea michezo kama rugby🏈, swimming, hockey ama tennis🏸🎾 , na sio football ⚽️ kama nyinyi.. 🀣🀣 achana na hawa.. watoto wa wenyewe hawa.. hivi bongo hakuna breed ama culture kama hii. ni kenya tu na SA

mfano kama hawa wa Rosslyn Academy, kiswahili na lugha ya mama kwao itakua ni ngoma
 
Have you noticed the quality of your English on your response and yet you brag that you know English!!!!!!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
He is not proficient!
One thing I have noticed about most of kunyans is ;, they are full of prijudice when it comes her neighbours! Mostly Tanzania but luckily some of the misconceptions have proved to be wrong!
 
Hapo issue ni kwamba hakuwa ameelewa hyo tweet.
 
Heehee...............sasa golf course ndio haipo Nairobi ama unajaribu kusema nini? 🀣 🀣
Golf course kando ya bahari.? Ipo NAIROBI.? Half hiyo ground ni multipurpose mzee it's not only for golf, πŸ‘‡na michezo mengine mingi tu.. it's a public Park.. au kwenu public Park ni sehem ya ku rest tu.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Pamoja na mambo ya zile picha alizopost Shebby01. .?
 
Buda, hii thread ni ya kuonyesha maendeleo ya nchi, hivi bahari ni maendeleo ya nchi? Watanzania mliijenga hiyo bahari? 🀣 🀣 🀣

Anyway, hata bahari tunayo ila Nairobi hauko kando ya bahari. Wacha kukosa hoja. Nairobi has way better and more golf courses than Dar.
 
Naona umeondoka na mada ya bahari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ soma tena vizur post yangu πŸ‘‡.. jana watu wanazungumzia Nala money kama kampuni ya kibongo kuonekana matangazo yake UK, wewe ukaleta story za phrase ya kiswahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…