Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mpotoshaji bingwa humu ndani, unapindisha uongo ionekane ni ukweli, ume cherry pick picha kueneza propaganda, dunia ya leo danganya wenzako pale vijiweni sio sisi.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



 
chongchung ile siku Dar utapata such dense and well built residential area nitag mwenzangu, usiogope, kubali kauli ya baba levo, ngojeni miaka ishirini na tano mbele., na uombe kenya iwe imesimama kwa huo mda wote, mko na mwendo sanaπŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚






 
Wewe mla mafii hujagonjeka na cholera hapo Nairobi?
 
"cowshed" is the way to go at JKIA!




See the most revered artists in Kenya giving their heartfelt testimonies after landing at JNIA!
Bado ukweli unabakia pale pale tu, JKIA vs Dodoma CBD shopping centreπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Ata ile picha ya zamani before refurbishment iko nafuu kuliko banda la kuku.,

A mini city..., πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ in Tanzania JKIA itakua ni town., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚








 
Hata awamu ya 5 kuna barabara mzee alienda izindua nyanda za juu kisini ilikua kama 70km hv kwa 200+ billions hadi mzee akahoji lakini ilipita kimya kimya...sishabikii wizi lakini raisi anapigwa kule moyo wake unapodundia
Ni kweli mkuu halafu hawana aibu, wala hofu yoyote kwenye kuiba nafsi zao haziwasuti kuwa wanawaibia wananchi masikini.
 
Kwahiyo dogo hana hata kitanda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
With 2 terminals while one Terminal 2 being a tent! πŸ˜› 🀭 πŸ‘‡





One among many cargo terminals at JNIA









 
na uko very sure dar nikubwa saaana kuliko nairobi.!πŸ€”πŸ€” sikujua hivyo mchizi wangu. lazma kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…