Shule ilishindwa kutengeneza modern library, wachina waka donate. Wacha hasira, hio library ni ya donation hata imeandikwa kwa herufi kubwa CHINA AID.Ile ada unayolipa inakwenda wapi? Unadhani vitabu vinajinunua vyenyewe? Wapumbavu hamjui kitu, we unaona unaweka tako lako pale unadhani hulipii.
Si ni kama GTC, au express way mlitoa sh ngp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shule ilishindwa kutengeneza modern library, wachina waka donate. Wacha hasira, hio library ni ya donation hata imeandikwa kwa herufi kubwa CHINA AID.
View attachment 2212807View attachment 2212809View attachment 2212810View attachment 2212811View attachment 2212812View attachment 2212813nairobi the cite😀😀😀😀Ila wabongo tupunguze wivu wenzetu wako vizuri tuwape hongera Tu😀😀😀
Huo mbona si chochote 🙄Nionyeshe msitu ya Dar kama hii nifunge account sahii. 🤣 🤣 🤣
Kazi imeanza, watakimbia wote humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2212807View attachment 2212809View attachment 2212810View attachment 2212811View attachment 2212812View attachment 2212813nairobi the cite[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ila wabongo tupunguze wivu wenzetu wako vizuri tuwape hongera Tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Lazima tuheshimu watu waliofanikiwa maisha.. usiwe mjinga kiasi hicho.. sisemi tuwaogope lahasha, lakini tuwaheshimu. Kwama ambavyo hapo kwenu serikali yenu inavyoheshimu watu wenye pesamimi sio wa kufurahisha mtu dogo., ukatae ukubali sio tatizo langu, wewe baki na fikra zako, tusonge mbele..., kwa majaliwa nikitua Tz nitakujuza, mambo ni pole pole, wacha uoga na fikra za kifukara.,
Kwanza na argue na nani, umekwenda shule wewe? Hebu tuweke vyeti vya chuo humu nijue kama na argue na nani, isije ikawa na argue na chokoraa.Shule ilishindwa kutengeneza modern library, wachina waka donate. Wacha hasira, hio library ni ya donation hata imeandikwa kwa herufi kubwa CHINA AID.
Nimekuambia ulete picha umeshindwa, uka anza kuimba ule wimbo munayoipenda sana, tutafanya, tunafanya, ngoja mradi ukamilike. 🤣 🤣 🤣
Mto sijui kama unaelewa ?😀😀😀yaani River ikivunja banks zake ndo hayo matokeo sijui hapo umo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kazi imeanza, watakimbia wote humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe watchman si uweke yako.Kwanza na argue na nani, umekwenda shule wewe? Hebu tuweke vyeti vya chuo humu nijue kama na argue na nani, isije ikawa na argue na chokoraa.
Nafkiri hii ndio njia sahihi ya kwenda nao sawa, isije ikawa tunabishana na machokoraa humu 😂😂Kwanza na argue na nani, umekwenda shule wewe? Hebu tuweke vyeti vya chuo humu nijue kama na argue na nani, isije ikawa na argue na chokoraa.
Weka vyeti bablai .. tunataka vyetiWewe watchman si uweke yako.
Me nimeona sewage tupu ianapita kwa slums.Mto sijui kama unaelewa ?😀😀😀yaani River ikivunja banks zake ndo hayo matokeo sijui hapo umo?
With these kind of reasoning I'm now starting to question your education level. How can students pay to usea school library?Huna unachokijua bwana mapesa zaidi ya "the reason am posting my private life here it's because you requested for it, next time if you want me to show you even my nails I won't show you" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vyeti vya uchawi ama?Weka vyeti bablai .. tunataka vyeti
Picture ya nini? We kichaa kweliNimekuambia ulete picha umeshindwa, uka anza kuimba ule wimbo munayoipenda sana, tutafanya, tunafanya, ngoja mradi ukamilike. 🤣 🤣 🤣
Kule kwenye kulipa ada, kuna mchanganuo wa matumizi yote ya hiyo hela ya ada uliyolipa, ikiwemo tution fee, n.k uku kwetu ukiwa unalipa ada unapewa kabisa fomu yenye mchanganuo huo for example. Chuo nilichosoma mimi Mwanza.. labda kama huko kwenu hakuna mambo hizo, but usijeukamtukana/ kumbeza mtu kwa vitu ambavyo huvijui, huo ni upumbavu. ni juu ya level ya ujingaWith these kind of reasoning I'm now starting to question your education level. How can students pay to usea school library?