The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Huwa wakiona tumekaa kimya wanadhani wanatuweza, wakianzaga kusema eti ka Nairobi ni green kuliko Dar huwa nawachekii nasema hiiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni hectares 30 ndio zinampa jeuri ya kutunishiana misuli na Dar
View attachment 2212778
Pugu forest ni dense natural forest kama ya Amazon, hawa watu empty sana
View attachment 2212779View attachment 2212780
Diamond is way belowNope siwezi kujiweka sentensi moja na Diamond kamwe., huyo ako way below na namaanisha kwa uhakika, wewe wacha kulazimisha fikra zako kwangu., 😂😂😂
Baada ya kupokea kichapo kwenye miti unakimbilia neno rural 🤣20km from Dar, unaenda hadi rural areas kutafuta msitu. 🤣 🤣 🤣 🤣
Hio msitu ya 30 Ha iko karibu na CBD. Hizo msitu zenu ni za ushago, mashambani huko kwa border ya pwani region.Ni hectares 30 ndio zinampa jeuri ya kutunishiana misuli na Dar
View attachment 2212778
Pugu forest ni dense natural forest kama ya Amazon, hawa watu empty sana
View attachment 2212779View attachment 2212780
Umeshangaza watu sana leo, punguani weweona unavyo lia kishenzi kisa an idiot called Diamond😂😂😂😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Diamond is way below
Yeye sasa[emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2212785kapuku wewe
Dar ikona ushago 🤣 🤣 🤣Baada ya kupokea kichapo kwenye miti unakimbilia neno rural 🤣
Huyo jamaa anachanganyikiwa sijui, please watu wenye utaalamu wa picha humu ndani from Tz mufanye kumi expose huyu mjinga humu nahitaji kumwona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂Huwa wakiona tumekaa kimya wanadhani wanatuweza, wakianzaga kusema eti ka Nairobi ni green kuliko Dar huwa nawachekii nasema hiiiiiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mimi sio wa kufurahisha mtu dogo., ukatae ukubali sio tatizo langu, wewe baki na fikra zako, tusonge mbele..., kwa majaliwa nikitua Tz nitakujuza, mambo ni pole pole, wacha uoga na fikra za kifukara.,Umeshangaza watu sana leo, punguani wewe
Keshashindwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hio msitu ya 30 Ha iko karibu na CBD. Hizo msitu zenu ni za ushago, mashambani huko kwa border ya pwani region.
lazima imekuuma sana 😂 😂Huyo jamaa anachanganyikiwa sijui, please watu wenye utaalamu wa picha humu ndani from Tz mufanye kumi expose huyu mjinga humu nahitaji kumwona
🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha. Uje ututembelee Kenya hivi karibuni.
30ha sio msitu Bali li city Park ewe kilazaHio msitu ya 30 Ha iko karibu na CBD. Hizo msitu zenu ni za ushago, mashambani huko kwa border ya pwani region.
Huna unachokijua bwana mapesa zaidi ya "the reason am posting my private life here it's because you requested for it, next time if you want me to show you even my nails I won't show you" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani students are paying to use the school library? Soja mbona unatuangusha hivi?
Nionyeshe msitu ya Dar kama hii nifunge account sahii. 🤣 🤣 🤣😂😂😂
Hajui Tanzania kuna Shamba 1 la miti lenye ukubwa size ya Nairobi na wala sio kubwa kuliko yote 🤣
Anatutishia maisha na 30 ha 😆
View attachment 2212786
Ile ada unayolipa inakwenda wapi? Unadhani vitabu vinajinunua vyenyewe? Wapumbavu hamjui kitu, we unaona unaweka tako lako pale unadhani hulipii.Library ya chuo hua bure, kwani hukubarikiwa kuenda shule?