Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hapo ndio umesaidia [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]kitu hovyooo sijui ni cha stone age
Hiyo kitu hovyo ndio unakupa stress hapa. Voted among the best airports in Africa and is the eighth busiest in the continent. Helllooo bongolala! 😂 Does mabati rolling mills make it in any list?
 
How is three planes on the airport bridges have anything to do with the airport capacity?mkiambiwa nyie ni kichwa maji mnalialia
Kwani wasafiri wanafikaje kwenye airports if not by planes? Bigger capacity means more planes in your airport but ninachoona ni ndege tatu tu so sijui ni nini huelewi hapo
 
Hiyo kitu hovyo ndio unakupa stress hapa. Voted among the best airports in Africa and is the eighth busiest in the continent. Helllooo bongolala! [emoji23] Does mabati rolling mills make it in any list?
Kwahiyo unataka kufananisha JNIA na JKIA, huu ss ni utoto alafu wewe ni miongoni mwa wale wapuuzi wasiopaswa kuwepo humu kwenye hii thread kama alivyosema tuusan, unawezaje kufananisha airport iliyojengwa 2010s na hiyo ya mkoloni? Yani watu tutumie mamilioni ya Dollar kujenga airport yetu alafu ww utoke kibera uje ufananishe na hiyo airport yenu ya mkoloni ambayo hata bridges co automatic [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Look at what those millions of dollars you brag about got you....a mabati rolling mill with a terminal the size of a cowshed

Meanwhile, JKIA is winning awards and continues to be one of the best airports in the continent, a far-fetched dream for mabati rolling mills


Kama hiyo yenu ni bora, mbona haitambuliki popote?
 
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani wasafiri wanafikaje kwenye airports if not by planes? Bigger capacity means more planes in your airport but ninachoona ni ndege tatu tu so sijui ni nini huelewi hapo
Kwani planes are made to park indefinitely at the airport? If you see fewer planes just know the rest are on air working it all depends on what particular point in time the photo was taken. We have had photos shared here when the airport was full house all air bridges occupied but we dont brag on silly things such as this.
 

Ni kabishi hadi mishipa inamchomoka. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kabishi hadi mishipa inamchomoka. [emoji23][emoji23][emoji23]
Anachokera zaidi ukweli anaujua lkn kwa sababu ni Tz tu ndio hakataki kukubali, kalivyo kasenge na kichwa chake kikubwa huwa kanawasifia kina tuusan kwakuwa huwa wanakubaliana naye ila kenyewe hakajawahi kukubali kitu toka Tz hata kama liko wazi kabisa mfano hilo la airport. Kamekazana kutoa mishipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…