Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo airport yao mkuu nimeshaitumia sana yaani ni kituko tupu design ya kizamani sana pia ndani ni kama sokoni imefinywa sana pia roof ni kama mezzanine floor no quality at all. Halafu chakula iko very expensive sana hapo.
Hii design ya kizamani ndio inapendwa na inashinda awards. JNIA ni airport ndogo sana, ukiingia umetoka. Ukisimama corner moja unaona terminal yote.





 
Bati sio nyumba na wala sio Dar yote ipo na bati za kutu, Dar nyumba hazijapangwa in lines lakini haimaanishi sio nyumba nzuri, ninyi mlivyo hamna akili mnafikiri kisa nyumba zipo scattered basi ndani nyumba ipo hovyo.
unataka close-up view wewe?.., haunidanganyi, ni za kienyeji sana 😂 😂 😂 😂
 
Which capacity are you talking about wakati airport nzima iko na ndege tatu mlangoni?
How is three planes on the airport bridges have anything to do with the airport capacity?mkiambiwa nyie ni kichwa maji mnalialia
 
Umeona ujistiri kwa kutumia blurred images!! [emoji23] [emoji23]
Hebu tuambie unaona ndege ngapi hapa?View attachment 2211197

Ikisemekana JKIA is the gateway to east and central Africa they know what they mean
Sasa hapo ndio umesaidia [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]kitu hovyooo sijui ni cha stone age
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…