Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka link,
 
Anajiona ana power na yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu engineer aliyejenga hii road inapaswa apigwe mawe mpk kufa, wakuu oneni engineers wa Kenya [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sema upinzani nao wapo very weak yani hamna kitu kabisaa
 
Mbona unakimbia mada? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Angalia maghetto ya 50k bei ya jioni kabisa yalivyo makali 🀣

Linganisha na shacks zenu za 73k πŸ˜‚

View attachment 2210514
Yaani nyumba nzuri bei rahisi hivi lakini nikiangalia google earth wengi wenu zaidi ya 80% ya jiji mnaishi nyumba za hovyo na kishamba kwa wingi., ina maana nyie ni mifukara kuruka 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…