Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀😀😀😀😀punguza hasira wanjala bakhresa sio mtu wa mchezo
 
Nairobi. Kenya is the only Country in Africa with increasing number of local Air travel!! Increase of 22%
 
Hahahahaha! Danganyikan!!! Lakini nakuelewa!! Huo, ndio ukakuwa mradi mkubwa East Africa na Number Tatu Africa, kheri wakoloni warudi!! That is a Mirage of a project! In Nairobi, it will fail to be noticed!!
usibishe vitu vilivyo wazi.....yaani mradi huu ni balaa na isitoshe wa mzawa.....vile vile.......hakuna mzawa yeyote wa kenya atakayeweza build mradi kama huu milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edward wanjala:No no no this can't be !tz is ldc
 
hiyo ndiyo kazi mnayoiweza kuzamia nchi za watu.....na kuomba uraia....

poor kenyan...yaan huyo hata historia yake utakuta hsjawai kuwa team ya taifa[emoji1] [emoji1] [emoji1] ni mzamiaji kwasababu ya shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Naah he plays for Harambee stars. Plus amecheza Denmark, China na sasa Spain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…