Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unless uwe hujui maana ya soft loan 😂
 
Nilisema wapi nimedharau access? Nilisema munafunzwa basics. Learn to comprehend kabla uropokwe usichokijua.
nyie mnafunzwa advanced hivi unajua programming syllabus ya kids ikoje mpaka u-brag huu upumbavu google programming for kids kuona the kind of syllabus mnaenda ku-introduce for minors based on age! Na uache upumbavu!
 
Devolution kwa Kiswahili ni Ugatuzi. Transfer of power to lower levels of government. Bongo rais ndio kunyamba nyinyi ni kunusa. 🤣 🤣 🤣 🤣
sasa where is that logical difference btn Transfer of power to lower levels of government and madaraja mikoani?
 
nyie mnafunzwa advanced hivi unajua programming syllabus ya kids ikoje mpaka u-brag huu upumbavu google programming for kids kuona the kind of syllabus mnaenda ku-introduce for minors based on age! Na uache upumbavu!
Munafunzwa kucreate webpage using MS Word. 🤣 🤣 🤣
 
Wewe ni fala, hivi kwamba hujui nikisema Mayor na madiwani nilikua nafanya emphasis. Kenya ilikua na the same local governments kwa katiba iliyopita, hakuna jipya ulicho andika, hizo vitu zote umetaja zinapangwa na serikali kuu kabla ya kua implemented na local government.
 
umejigundua mtupu kwenye programming umeamua kujibaragua!
Ile siku bongo itazindua coding syllabus kwa primary na high school nitawapigia makofi. Kwa sasa endeleni kupambana na MS Word. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Inapangwa na serikali ya kunyaland?

Yapo mabunge ya kujadili local government revenues (revenues collected by local governments only) na kupitisha budgets za utekelezaji, yanaitwa mabaraza ya madiwani, huna unalolijua

Some of the local government assemblies





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…