Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Student hapa ndio kavunja kabati, tai pana kama motivational speaker na upara juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mdomo umelegea kama teja [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwai Chibaki and Lightning Bolt at the Office-of-the-President, Harambee Avenue

 
Tony sidhani kama unaufahamu mzuri wa haya mambo. Unaposema kuwa python ni ngumu kuliko C++ unamaanisha nini?

Python ni very high level programming language kuliko C++, ikimaanisha kuwa imerahisishwa sana. Concepts kama pointers ambazo zipo kwenye C na C++ huwa hazipo kwenye python. Kwa lugha rahisi python ni kama gari yenye automatic gear wakati C na C++ ni ile yenye manual gear.
C++ ni ya zamani. Programmers wengi wa zamani walianza na hio c++.
Zamani ni subjective. Sisi wengine tulianza na C, na mpaka leo C inatumika sana, hiyo simu yako microchips zake zina run C.

Kinadharia unaweza kuprogram kitu chochote kwa language yoyote (Turing computability) lakini kuna baadhi ya language zinafaa zaidi kwa masuala fulani (mf. web vs automotive)

Python huwa na limitations inapokuja kwenye microcontrollers programming ambapo memory iliyopo kwenye chip huwa ni ndogo sana. Kwa kutumia C++ na hasa C unaweza kutumia memory hiyo ndogo kwa ufanisi zaidi.
Hio python ni kitu imekuja juzi. C# nayo ni ya zamani kushinda c++.
C++ ilikuwepo kabla ya C-sharp bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…