Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi BRT will work seamlessly with the Nairobi Commuter rail. Everything is adding up pole pole. Nairobi International Finance Center is dream come true.

Kwenye matatuuu aka vipanya basi sawa . Waswahili wanasema kuchamba kwingi kushika nyaaaaa. Kwanza pambaneni na cholera , kuwe na maji safi na salama acheni kudeal na uncertainty
 
Mnatia huruma sn, yn cc tunapost miradi mbalimbali nyinyi mmebaki na kamradi kamoja ka mchina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
...ambayo inakuumiza kichwa hadi watu wanasema elongated 😂 😂
Elongated indeed
 
Kwenye matatuuu aka vipanya basi sawa . Waswahili wanasema kuchamba kwingi kushika nyaaaaa. Kwanza pambaneni na cholera , kuwe na maji safi na salama acheni kudeal na uncertainty
Nyinyi mumedeal na umasikini?
 
...ambayo inakuumiza kichwa hadi watu wanasema elongated [emoji23] [emoji23]
Elongated indeed
Elongated flyover, only 8km for elevated section, an elongated flyover indeed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti anaropoka kabisa c++ ni rahisi, watu wanasoma hyo c++ at university level yeye anataka wafundishwe primary, shida ya wakunya ni ujuaji, kitu kakisikia zen ana Google alafu anaanza kukitolea maelezo, ******* sn hawa jamaa.
 
Where is the pipeline?
Endelea kusubiri huenda likarudishwa Nairobi kama ambavyo mlipambana lipitishwe huko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
C# sio object oriented. Punguza bangi
 
C++ ni ya zamani. Programmers wengi wa zamani walianza na hio c++. Hio python ni kitu imekuja juzi. C# nayo ni ya zamani kushinda c++.
 
Elongated flyover, only 8km for elevated section, an elongated flyover indeed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hueleweki, kwanza unajua saa hii ni saa ngapi? Unafaa ushaanza kumulika watu na touch na kupuliza firimbi in case uone any mischief around.
 
Hueleweki, kwanza unajua saa hii ni saa ngapi? Unafaa ushaanza kumulika watu na touch na kupuliza firimbi in case uone any mischief around.
Kijana mm co size yako, nmekuacha mbali sn, wakunya wa humu wengi ni kapuku na wenye umaskini wa kutisha, sura zenu tu zinamaanisha ufukara mlio nao, kingine nilichogundua ni kwamba Wakenya mna shobo sn mkigundua mtu anafanya kazi sehemu nyeti, hilo nimegundua baada ya kuona eti hamuamini kwamba mm ndiye, mmebaki kujifariji lkn ukweli ni kwamba mmenishangaza kuonesha inferiority complex kwangu wkt ni mambo ya kawaida tu, acheni shobo mtafi..rw.a.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…