Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Juzi nilikuepo hapo kwenye hiyo stend ya btr hapo kijitonyama nikajionea maajabu,eti hua mnasema dar hukuna vyumba mabati?nilishanga kuona hapo kando ya hiyo stend kuna mabanda yaliojengwa na mabati yaliochakaa
Wacha porojo, hujawahi toka nje ya Kenya wewe.. Eti stendi ya kijitonyama, my foot.
 
Wacha porojo, hujawahi toka nje ya Kenya wewe.. Eti stendi ya kijiyonyama, my foot.
Huo niukweli mkuu,mimi mwana biashara na maeneo yangu sana sana ya kufanyia bishara zangu nikutoka Nairobi,Tarakea kwa wachaga hadi dar
 
Hahaha Dar inashindana na Mombasa hapo kwa dollar millionaires. ....kweli LDC ni ldc tu

Ukiangalia kwenye media nyng na magazeti mengi huwa yana underrate sana Tz ...hapo kwenye dollar millionares ..watu tupo huku na uhakika hatujahesabiwa ...
Mfano mwngne Knight frank walifanya research ya retail space ya Dar ..ety wakakuta 150,000sqm ...wakati Dar inakimbilia 400k sqm
 
Juzi nilikuepo hapo kwenye hiyo stend ya btr hapo kijitonyama nikajionea maajabu,eti hua mnasema dar hukuna vyumba mabati?nilishanga kuona hapo kando ya hiyo stend kuna mabanda yaliojengwa na mabati yaliochakaa
acha uwongo.......cha kwanza brt haipo kijitonyama ....cha pili kwenye system ama road yote pembeni hakuna vibanda....labda ulikuwa kibera ndotoni kuja kushtuka ukapambana na mabati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utuwai link yako ama utafiti wako basi

sent from iPhone 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…