dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
Ni venye Sisi wakunya tuna Maisha magumu,na roho zetu ngumu na mazingira tunayokaa ni magumu utakua na mudu wa fashion kweli siste hiyo hela ya fashion si Bora ni save nikanunue sukuma wiki na githeri[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Umeandika kwa uchungu sana, hii ni wivu tupu.., mengine ata ni pororjo tu.., eti big percentage ya white population, mbona unateseka hivi? licha ya hayo mko way below, can't measure up ni wivu na roho mbaya tu inakusukuma, pole brathe, sio makosa yetu, we will not stop growingπ€£ π€£ π π πYaani unashamgaza Sana, kwa ujumla wakenya mnashangaza Sana mnapojilinganisha na nchi zingine kwenye "imaginations" badala ya kujilinganisha kwenye "real/physical achievements.
Ulipaswa utuambua vitu na maendeleo mliyokua mkiyatamani toka South Africa enzi hizo ambapo Kenya hamkuwa nayo, au mlikua nyuma Sana kwa SA ila Sasa hivi mnawakaribia au mumewapita.
Hebu tuambie ni maendeleo gani ambayo Kenya kwa Sasa inaweza kujilinganisha na SA japo kuwakaribia. Mambo pekee ambacho Kenya inafanana na South Afrika ni
1)Crime
2) Tribalism
3)Big percentage of white population
4)Land grabbers
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa makaratasi tu.., all ni planning, uwezo hamna, the reason we will dominate hadi mwisho wa dahari mkiendelea kuotaπ€£πππππSio kila nchi lazima ivutie wawekezaji wa sector zinazofanana, Sasa biashara itafanyikaje duniani?, Muhimu ni kwamba Tanzania tunaongoza katika uwekezaji(FDI), na tuΓ±aongoza katika ujenzi wa miradi mingi ya maendeleo na kijamii kwa Sasa katika ukanda huu
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We beat lazybones with facts, wao ni porojo na wivu tu.., ni empty domo domo hawana jibu from Tz, utawaona wakitafuta negatives za Kenya wa post ili kujiliwaza, kwao hawana anything ya ku post to re-battleni negatives za Kenya ndio mkombozi wao baada ya kichapo, such negatives are common in all developing countries globally, wameishiwa pumzi kabisaaa, so lazima watafute pakutokea kwa kuangalia Kenya., ama walete ndoto zao, matarajio ya future π π π π€£ π€£ π€£ ..,aiseee.... aky leo tumerauka kunyeshia hawa mashoga na vitu mizuqa tupu, zikiandamana mfululizo walai... π£π£..π₯ π₯π₯
tufanyange hivi kilasiku.. ππ
View attachment 2193765View attachment 2193766View attachment 2193767View attachment 2193768View attachment 2193769View attachment 2193771View attachment 2193772View attachment 2193773
Taja kitu chochote cha maendeleo kuanzia Afya, maji, viwanda, kilimo, infrastructure, madini, Utalii, michezo, muzic, jeshi, na mengineyo, wapi mnalingana na SA?Umeandika kwa uchungu sana, hii ni wivu tupu.., mengine ata ni pororjo tu.., eti big percentage ya white population, mbona unateseka hivi? licha ya hayo mko way below, can't measure up ni wivu na roho mbaya tu inakusukuma, pole brathe, sio makosa yetu, we will not stop growing[emoji1787] [emoji1787] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Punguza ushamba wakenya kwenye fashion mpo zero π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hiyo inaitwa brogue shoes vitu vya UK!
kiasi chake mkuuLusematic Naona bendera ya South Korea. Naona umetembea hii dunia.
Kwa ile post ya mwenzangu ulio jibu, did he say tunalingana popote? or alimaanisha Kenya has grown in leaps and bounds to be behind them? wewe ni wivu ilikusukuma ku respiond bila kuelewa, sasa unalazimisha fikra zako kando ya mada π π π ndio maana any ranking ya different sectors ikichapishwa baada ya utafiti mwafaka, Kenya inatajwa mara mingi to be next to SA na N igeria or not very far from SA for that matter, ama utasikia outside SA Kenya is leacding in real estate etc.., tuna grow wivu ikiendelea kukunyonga weweπ€£π€£π€£ππππTaja kitu chochote cha maendeleo kuanzia Afya, maji, viwanda, kilimo, infrastructure, madini, Utalii, michezo, muzic, jeshi, na mengineyo, wapi mnalingana na SA?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Labda nikusaidie balozi wa au mwakilishi wa serikali ya Tanzania Koreaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Alafu huyu mama ndo mkorea ama?? Ushamba mzigo π€£ π€£ View attachment 2193835
yaani wako way back,hata wale wa way wenyewe walikuwa wajanjaamekaa Mkalee ndo wana vituko hivi! Angalia Ruto anachovaa!
Punguza ushamba wakenya kwenye fashion mpo zero [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo inaitwa brogue shoes vitu vya UK!View attachment 2193844View attachment 2193846
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]
huyo hana akili ungemtag mwambie aliye zaidiTeargas Ona ng'ombe ya Kinigeria kinalia na kutag hadi rais wao Buhari eti kwa sababu google wameamua kufanya Nairobi iwe research centre yao.
Nikiangalia random clips ya street level in Dar raiya wengi kwa streets wakiendelea na shughuli zao, wengi wanaka washamba sana ata kimavazi so kauli yako ni kwa wachache waliochanuka, wengi ni hovyo.., ama unabisha?π€£πππππPunguza ushamba wakenya kwenye fashion mpo zero π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ hiyo inaitwa brogue shoes vitu vya UK!View attachment 2193844View attachment 2193846
π€£π€£π€£ππ€£ππ