Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yule watchman The best 007 naona sasa anachungulia tu. Bro just be free with your job, nobody is going to be beat you because you are a watchman 🤣🤣😂
 
angalau ungepata tu kuandika jina lako 'NDINDA'.! tungepata kukuamini mzee, ila kwa saahizi hapana... hizi pesa lazima ni za wenyewe mkuu.. [emoji38]

View attachment 2193050
Wewe huoni kaandika bwana mapesa ....unajua bwana mapesa aliyo andika ina maana gani ? Ukijua maana yake utajua ni yeye au la ...mtafute mkenya Teargas atakuambia kwanini kaandika hivyo, ni sawasawa na mimi nipost pesa kisha niandike "mkunya cheki mapesa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…