middle class ya kenya ipo kwenye makaratasi tu, reality-wise hali yenu ni mbaya sana kimaisha.Kenya maisha ni magumu but watu wenye hela ni wengi sana...middle class ni big than east and central africa combine
kweli kabisamiddle class ya kenya ipo kwenye makaratasi tu, reality-wise hali yenu ni mbaya sana kimaisha.
ila nawasifu kitu kimoja,mpo vizuri sana katika kupika data za kuwadanganya watu wa nje ya kenya ambao si wadadisi kama sisi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kenya maisha ni magumu but watu wenye hela ni wengi sana...middle class ni big than east and central africa combine
[emoji12] [emoji1] hakuna aliyesema za kushangaza hebu njoo na majina yake siyo picha tu maana unakuja na different angle kwa baadhi ya picha hafu zingine zitoe maana ni vituko.....njoo na majina nikuchambue vizuri
Leta flyover moja peke tuone,kichwa kibovu stupidhata mapango mtaita flyover
bullshits...